Clouds mmechanganya siasa na biashara, sasa mjiandae kupokea matokeo ya maamuzi yenu

Yaaninjamaa mpambavu kweli.hivi anadhani sisi ni mburura kama yeye humu ndani watu wako vizuri kiakiri na sio ziro kama bashite.humu ni great thinkers.Huyo Ruge ni kichwa kingine shomile yule anajua namna ya set mind na sio akina ziro.kwanza kitendo cha kuvamia kimeifanya clouds kuwa kituo bora na zaidi maana,ilifikia vyombo vyote vikiisemea na kuitangaza kwenye radio na tv zingine bonge la promo kwa clouds Cheza na Ruge wewe
Unafikiri kama mtu aliefungiwa ndani ya ki-chungu kidogo sana. Ni ni bonge la promo kwa leo, baada ya leo je??
 
Ruge leo unaonekana mshindi lakini..........?

Ndugu wanaJF

Naomba kwa mara hii nitoe mawazo yangu juu ya hatma Ruge, taasis yake na biashara yake kwa ujumla kuhusianana maamuzi waliochukua juu ya suala la Paul Makonda.

"Your decision determines your future" and "the means justifies the end"

Suala la Makonda ni matokeo ya mbegu mliopanda nyie wenyewe yaani "the means justifies the end". Hamjawahi kuwa neutral kwenye habari zenu na hata matendo yenu siku zote.

Mmefaidi mengi kutoka chamani na na Raisi kwa ujumla. Kitendo cha Mh. Rais kuwapigia simu mara kwa mara inafaida kwenu kubwa kitaasisi na kibiashara.

Binafsi sikuwahi kuwasikia mpaka pale niliposikia Mh. Rais aliowapigia simu kutoka Chato juu ya mshahara wake. Msemo wa pili unatoa maana halisi ya tukio la PCM kuingia kwenu bila mwaliko na kufanya chochote anachokitaka.

Vyombo vingine vya habari hawakufurahi kusikia simu zinajirudia mara kwa mara tena kwenu tu. Kuna taaasis walishaitisha kikao cha dharura kujadili kilicho special sana kwenu na hata kupanga mikakati ya namna na kulobby calls.Leo kila moja anawasupporti na kuwachochea mzidi kuvuruga mambo na ndio itakuwa na mwanzo wa graph yenu kushuka. Watalia sana na nyie leo lakini kesho nyie mtalia na wao watawacheka bila huruma.

Wafanya biashara wengi siku zote wako very sensitive na biashara zao. Wako tayaari kusacrifice chochote kile ili mradi wasipoteze faida.

Kwa tabia zenu za siku zote nina uahakika kuna vitu vingi sana mlikuwa mnakwepa na ni rahisi sana kuwa "pinned" mda wowote. Jifunzeni kwa mzee Mengi, hakika hakuja kuwapa pole bali kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza lenu. Biashara haichanganywi na siasa babaaa!!

OK. Ni kweli PCM kashawavamia what next?

Pande ziko mbili hapa, WA BIASHARA na wa HASARA na lazima mchague upande mmoja. By the way mmeshakwishakufanya uchaguzi. JE, nyie mmechagua upande gani?,Turejee pale mwanzo "our decision today determines our future".
Ni wazi sasa kila moja anajua mliopo. Toka mwanzo tulikuwa na vita kati wauza unga na wanapiga vita unga, kati Gwajima na serikali ya Magufuli. Katika vita hii kuna kuna kundi la tatu "wanasiasa", wanasiasa wamekaa kama mwewe waweze kutumia nafasi zao kisiasa na kuwachanganya watu. Mmekubali kuwafuata sasa kweherini!

Nimesikitika sana leo kabla ya kusomwa kwa ripoti mmemkaribisha mtuhumiwa namba 1 Gwajima eti kaja kuwapa pole. Hii inaonyesha wazi mlikuwa mnamtumia PCM vibaya kwa faida ya GWAJIMA na wapinzani wengine wa swrikali ya Magufuli. Haikuwa busara leo kumualika mtu ambaye ni chanzo cha mgogoro huu hasa kwa siku hii ya leo. MJIREKEBISHE na MUOMBE MSAMAHA.

Sasa mbivu mbichi tumeshajua kinachofuata ni uhalali wa kazi zetu toka miaka 17 iliopita. Mmefanya maamuzi hawajalalamika sasa ni zamu yao kufanya maamuzi halali juu yenu, na nyie msilalamike.

Ahsanteni sasa Naondoka na kweheri!

Watanzania ina wananchi baadhi wa ajabu sana kwa mfano mzuri ni wewe uliyeandika post hii. Mimi binafsi natamani watu kama nyie wangekuwa wanafanyiwa "extermination" kutoka Taifa hili. Yaani unaona alichokifanya Makonda/Bashite ni sawa kabisa???? Watanzania mnashida ganii??? Hivi huoni kwamba Makonda's means is what justifies the end our political journey and the total outcome of the peoples lives as a nation as well as a country??? Nchi hii mnaiangalia kama familia yenu nyie wana-CCM au mnaingalia kama kizazi cha taifa. ...inatia kinyaa sana.....nchi inafikia hatua ni kawaida serikali ina-deal na watu badala maisha ya watu...hovyo kabisa....
 
Kwani wakati makonda anaitumia clouds kisiasa hamkujua kwamba wanafanya siasa? wale ni wazee wa fursa za mjini ilimradi pesa iingie.
 
Ruge leo unaonekana mshindi lakini..........?

Ndugu wanaJF

Naomba kwa mara hii nitoe mawazo yangu juu ya hatma Ruge, taasis yake na biashara yake kwa ujumla kuhusianana maamuzi waliochukua juu ya suala la Paul Makonda.

"Your decision determines your future" and "the means justifies the end"

Suala la Makonda ni matokeo ya mbegu mliopanda nyie wenyewe yaani "the means justifies the end". Hamjawahi kuwa neutral kwenye habari zenu na hata matendo yenu siku zote.

Mmefaidi mengi kutoka chamani na na Raisi kwa ujumla. Kitendo cha Mh. Rais kuwapigia simu mara kwa mara inafaida kwenu kubwa kitaasisi na kibiashara.

Binafsi sikuwahi kuwasikia mpaka pale niliposikia Mh. Rais aliowapigia simu kutoka Chato juu ya mshahara wake. Msemo wa pili unatoa maana halisi ya tukio la PCM kuingia kwenu bila mwaliko na kufanya chochote anachokitaka.

Vyombo vingine vya habari hawakufurahi kusikia simu zinajirudia mara kwa mara tena kwenu tu. Kuna taaasis walishaitisha kikao cha dharura kujadili kilicho special sana kwenu na hata kupanga mikakati ya namna na kulobby calls.Leo kila moja anawasupporti na kuwachochea mzidi kuvuruga mambo na ndio itakuwa na mwanzo wa graph yenu kushuka. Watalia sana na nyie leo lakini kesho nyie mtalia na wao watawacheka bila huruma.

Wafanya biashara wengi siku zote wako very sensitive na biashara zao. Wako tayaari kusacrifice chochote kile ili mradi wasipoteze faida.

Kwa tabia zenu za siku zote nina uahakika kuna vitu vingi sana mlikuwa mnakwepa na ni rahisi sana kuwa "pinned" mda wowote. Jifunzeni kwa mzee Mengi, hakika hakuja kuwapa pole bali kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza lenu. Biashara haichanganywi na siasa babaaa!!

OK. Ni kweli PCM kashawavamia what next?

Pande ziko mbili hapa, WA BIASHARA na wa HASARA na lazima mchague upande mmoja. By the way mmeshakwishakufanya uchaguzi. JE, nyie mmechagua upande gani?,Turejee pale mwanzo "our decision today determines our future".
Ni wazi sasa kila moja anajua mliopo. Toka mwanzo tulikuwa na vita kati wauza unga na wanapiga vita unga, kati Gwajima na serikali ya Magufuli. Katika vita hii kuna kuna kundi la tatu "wanasiasa", wanasiasa wamekaa kama mwewe waweze kutumia nafasi zao kisiasa na kuwachanganya watu. Mmekubali kuwafuata sasa kweherini!

Nimesikitika sana leo kabla ya kusomwa kwa ripoti mmemkaribisha mtuhumiwa namba 1 Gwajima eti kaja kuwapa pole. Hii inaonyesha wazi mlikuwa mnamtumia PCM vibaya kwa faida ya GWAJIMA na wapinzani wengine wa swrikali ya Magufuli. Haikuwa busara leo kumualika mtu ambaye ni chanzo cha mgogoro huu hasa kwa siku hii ya leo. MJIREKEBISHE na MUOMBE MSAMAHA.

Sasa mbivu mbichi tumeshajua kinachofuata ni uhalali wa kazi zetu toka miaka 17 iliopita. Mmefanya maamuzi hawajalalamika sasa ni zamu yao kufanya maamuzi halali juu yenu, na nyie msilalamike.

Ahsanteni sasa Naondoka na kweheri!
Na tuhuma kuwa "wanatumika kufanya "fitna ya kuupigia kampeni ushoga", sasa itatazamwa, kwa jicho kali!
 
Serikali kupitia kwa Nape si imekamilisha uchunguzi wa Uvamizi wa Kituo cha Clouds kupitia kamati aliyoiunda?, na hiyo kamati si imetoa taarifa kuwa Makonda aliwatishia wafanyakazi kuwaweka katika listi ya madawa kama hawatoicheza video yake?. Sasa wewe mleta mada unaizungumzia serikali ipi tena ambayo clouds imeikosea?. Au ulitaka kumaanisha Makonda ndiyo serikali na serikali ndiyo Makonda?. Hakuna kitu kama hicho!!
 
Bhh
Mawingu imejiinua yenyewe kutoka kuwa wapiga disco hadi kuwa taasisi kubwa ya utangazaji.. hao wakina JPM na PCM wameikuta mjini inapasua anga...na inawezekana kabisa hawajui hata ili anzaanzaje....haikutegemea wana siasa kupata umaarufu ilitegemea vijaana wa mitaani na wasanii..wanasiasa wanaanza kuifuata baada ya kuona inang'aa. Wangefanya kosa kubwa kama wangeamua kuwapuuza watu wa kawaida ktk hili sakata na kukumbatia wanasiasa...ingekuwa wanasiasa ndo wanapaisha vituo vya radio na tv basi TBC na radio uhuru wasingekuwa na mshindani nchi hii...

Hakika kabisa wale vijana wameanzia Mbali sana na wala hawajapata msaada wowote kutoka kwa Wanasiasa.
 
Vijana wa mjini ambao hawajapata msaada wowote wa wanasiasa wako wanaokota, plastiki na chupa na vyuma chakavu mitaani....hao jamaa, na serikali ni wamoja, na yaelekea wana mambo yao mengi nyuma ya pazia.....wanajuana.....
 
Ruge leo unaonekana mshindi lakini..........?

Ndugu wanaJF

Naomba kwa mara hii nitoe mawazo yangu juu ya hatma Ruge, taasis yake na biashara yake kwa ujumla kuhusianana maamuzi waliochukua juu ya suala la Paul Makonda.

"Your decision determines your future" and "the means justifies the end"

Suala la Makonda ni matokeo ya mbegu mliopanda nyie wenyewe yaani "the means justifies the end". Hamjawahi kuwa neutral kwenye habari zenu na hata matendo yenu siku zote.

Mmefaidi mengi kutoka chamani na na Raisi kwa ujumla. Kitendo cha Mh. Rais kuwapigia simu mara kwa mara inafaida kwenu kubwa kitaasisi na kibiashara.

Binafsi sikuwahi kuwasikia mpaka pale niliposikia Mh. Rais aliowapigia simu kutoka Chato juu ya mshahara wake. Msemo wa pili unatoa maana halisi ya tukio la PCM kuingia kwenu bila mwaliko na kufanya chochote anachokitaka.

Vyombo vingine vya habari hawakufurahi kusikia simu zinajirudia mara kwa mara tena kwenu tu. Kuna taaasis walishaitisha kikao cha dharura kujadili kilicho special sana kwenu na hata kupanga mikakati ya namna na kulobby calls.Leo kila moja anawasupporti na kuwachochea mzidi kuvuruga mambo na ndio itakuwa na mwanzo wa graph yenu kushuka. Watalia sana na nyie leo lakini kesho nyie mtalia na wao watawacheka bila huruma.

Wafanya biashara wengi siku zote wako very sensitive na biashara zao. Wako tayaari kusacrifice chochote kile ili mradi wasipoteze faida.

Kwa tabia zenu za siku zote nina uahakika kuna vitu vingi sana mlikuwa mnakwepa na ni rahisi sana kuwa "pinned" mda wowote. Jifunzeni kwa mzee Mengi, hakika hakuja kuwapa pole bali kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza lenu. Biashara haichanganywi na siasa babaaa!!

OK. Ni kweli PCM kashawavamia what next?

Pande ziko mbili hapa, WA BIASHARA na wa HASARA na lazima mchague upande mmoja. By the way mmeshakwishakufanya uchaguzi. JE, nyie mmechagua upande gani?,Turejee pale mwanzo "our decision today determines our future".
Ni wazi sasa kila moja anajua mliopo. Toka mwanzo tulikuwa na vita kati wauza unga na wanapiga vita unga, kati Gwajima na serikali ya Magufuli. Katika vita hii kuna kuna kundi la tatu "wanasiasa", wanasiasa wamekaa kama mwewe waweze kutumia nafasi zao kisiasa na kuwachanganya watu. Mmekubali kuwafuata sasa kweherini!

Nimesikitika sana leo kabla ya kusomwa kwa ripoti mmemkaribisha mtuhumiwa namba 1 Gwajima eti kaja kuwapa pole. Hii inaonyesha wazi mlikuwa mnamtumia PCM vibaya kwa faida ya GWAJIMA na wapinzani wengine wa swrikali ya Magufuli. Haikuwa busara leo kumualika mtu ambaye ni chanzo cha mgogoro huu hasa kwa siku hii ya leo. MJIREKEBISHE na MUOMBE MSAMAHA.

Sasa mbivu mbichi tumeshajua kinachofuata ni uhalali wa kazi zetu toka miaka 17 iliopita. Mmefanya maamuzi hawajalalamika sasa ni zamu yao kufanya maamuzi halali juu yenu, na nyie msilalamike.

Ahsanteni sasa Naondoka na kweheri!
Sina maneno ya kwenye Kanya!
 
Back
Top Bottom