IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,833
... Tuwe wakweli, hivi hawa jamaa kwa walikofikia leo hii, na ukilinganisha na life cycle ya maisha yetu, ni haba kweli? Wangapi miongoni mwetu wangetamani kufikia hata robo tuu ya mafanikio yao??Ndugu, hivi kweli una uelewawa kutosha kuhusiana na hoja hii? Miaka waliyobakiza duniani itagarimu kiasi gani cha shilingi?