Clouds FM yasababisha Jide kutoshirikiana na wasanii wa Bongo

Ukweli utakuweka huru. Hongera jide unafanya kazi yako vizuri. Unaonesha ukomavu Dada. Technology imekuwa sasa; hata wazibaje bado utapenya tu!
Kuna media kibao sasa, una funs wa kutosha, ur the only outstanding female artist uliekuwapo kabla na mpaka Leo. Thumbs up bidada. Ndi ndi ndi....
 
Kumbuka nyimbo ya "Yahaya unaitwa nani" haijawahi kupigwa radio ya wafu na bado ikawa ni wimbo wa Taifa mpaka kipindi kile David Mosha alienda kufungua kesi pindi alipokuwa mgombea wa Ubunge Moshi Mjini....ina maana kwamba hata kama Clouds hawatapiga nyimbo zako si kitu cz kuna radio stations zaidi ya hamsini hapa nchini
 
Wasanii wote first class's hawajatolewa na clouds! Wasanii wao wote ni lower second,barnaba,linah,maua,amini,na wengine wengi! Jamaa ni wacenge eti wakipiga nyimbo yako au kukupa show wanaona wamekutoa wakati wao ndo mziki unawabeba! Kaza jide
 
..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.
 
dah kwa hii nyimbo yake mpya nahisi hata hao clouds wanatamani kuipiga ila wanaona noma.....ya inshort ajawai kufanya kama vile.
 
..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.
"cloids tv" ni tv mpya hii?
kama ulikusudia clouds tv sidhani kama ni kweli hichi ukisemacho
 
Ule Wimbo wa Jide Na Clauds Tutakumbumbuka... Baba wa Taifa hata haupigwi na Clouds kumbe ndio Kisa... Wimbo wa Maombolezo ila Mtamu sana... mwenye nao atuwekee nimeumiss Clauds Baflesho
 
Kama tunavyojua ya kwamba Lady Jay dee komandoo hana mahusiano na redii clouds fm,sasa hali hiyo imefanya huyu dada hata nyimbo zake kutochezwa katika kituo hicho.

Kumbuka clouds washakuwa katika tafrani na wasanii kama Mapacha,Sugu,Rama dee n.k,lakini hao wote waliomba msamaha na walisamehewa na bado nyimbo zao hazichezwi pale wala hata interviews hawapewi wala nini! Sasa huyu dada nadhani anaona aibu kuomba radhi clouds fm kwa kuwa anajua hata akiomba msamaha bado hawatacheza nyimbo zake, kitendo cha Jide kugombana na clouds fm kimemfanya akose ushirikiano na wasanii wote wa tanzania na hico kujikuta hakuna msanii anaeomba kufanya collable na yeye.

Hii inatokana na kwamba wasanii wanaogopa endapo watamshirikisha hii maana yake nyimbo haitapigwa clouds fm na ndio redio kubwa Tanzania nzima,ukitaka wimbo wako uvume ni lazima udili na hawa majamaa,kazi ipo
mkuu We ni mwanaume au mwanamke? samahani lakini kwa swali hili.
 
Mkuu zaidi ya watanzania milioni 39 wanatumia simu, na asilimia kubwa ya simu zinauwezo wa kutumia memory card kiasi kwamba unaweza kumiliki nyimbo na kuisikiliza muda wowote unaotaka..

Bado kuna mitandao ya kijamii (ambapo zaidi ya watanzania milioni 17 tunatumia internet) hawa wote mashabiki wanaingia YouTube n.k

Bado kuna vituo vya redio na tv vingi vinavyofanya vizuri nchini vinavyopiga nyimbo zake...

Bado kuna madereva bodaboda, na studios sehemu ambazo wimbo ukitoka wa msanii mkubwa utausikia kwao hata kama hufuatilii...

CLOUDS SI KITU..!! Anachokosa ni show za fiesta na events moja moja za escape one, ambazo hata malipo yao huwa hayana maslahi kiivo..
 
Hela ya kula utampa wewe?
Wewe si ndio wale wale walk chips mayai, unatishwa na watoto wa mbwa Clauds.
Sisi kanda maalum the likes of komando jide,hatutetereki na ujinga wa Clauds ndugu,we are strong as ever before.
Endelea ku leak Vistula vya clauds hapa kanda maalum haturembi,we call a sped a ped,Kama Mbwai iwe mbwai.mrishono
 
..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.
Mhh! Mkuu hapa watu watu wanaongelea clouds na sio hiyo cloids yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom