Sawa mkuu naelekekea hukoHujabisha hodi mkuu.......kuna chumba cha wageni kabla ya kuja huku!!
Sawa mkuu naelekekea hukoHujabisha hodi mkuu.......kuna chumba cha wageni kabla ya kuja huku!!
watakua hawajawaonea,wamezidi kuingilia hasa mambo ya siasa,tena kwa kuegemea chama fulani,kwani ni nani asiyewafahamu kazi yao kusifia tu viongoz wa ccm,kwa nini wasitafute mada za msingi za kuongelea mpaka wazungumzie watu binafsi,au wanahongwa ili kufanya hivyo.nadhani TCRA ikemee tabia hizi kwa sababu ni kero kubwa kwa jamii.
haifai kuwa redio ya kusikiliza bali inatakiwa iwe kijarida cha kitchen part tu................akina kibonde wanaharibu sana redio na mimi niliishaacha kusikiliza tangu niliipoona kuwa wamenunuliwa na mafisadi na ccm wakati wa uchaguzi............wamefulia........
CLOUDS HAWANA VIPINDI VYA KUELEIMISHA NA WALA HAWANA UWEZO WA KUELIMISHA....REDIO YAO IFUNGIWE KWANI HAPO BAADAE WANAWEZA KUWA WACHOCHEZI HASA MTU KM KIBONDE...........NOT WANTED IN MEDIA AENDE AKAGANGE NJAA CCM
Mumesahau kuwa ndo walioandaa birthday ya Jey Key
Usiusemee moyo............ WENGINE BILA CLOUDS FM SIKU HAIENDI..........haifai kuwa redio ya kusikiliza bali inatakiwa iwe kijarida cha kitchen part tu................akina kibonde wanaharibu sana redio na mimi niliishaacha kusikiliza tangu niliipoona kuwa wamenunuliwa na mafisadi na ccm wakati wa uchaguzi............wamefulia........
CLOUDS HAWANA VIPINDI VYA KUELEIMISHA NA WALA HAWANA UWEZO WA KUELIMISHA....REDIO YAO IFUNGIWE KWANI HAPO BAADAE WANAWEZA KUWA WACHOCHEZI HASA MTU KM KIBONDE...........NOT WANTED IN MEDIA AENDE AKAGANGE NJAA CCM
Na TBC nayo iporedio uhuru si ipo jamani
Guys hawa jamaa ni Entertainment media house, what they do is Entertainment so tuwaache waburudishe, ukionwa unakwazwa waweza badilisha redio station tu ziko nyingi Redio Tumain, Wapo, Praise Power, Redio uhuru, Morning Star, TBC 1 nk
Unaniangusha mkuu, ni redio ya WAFUUUUU!Redioooooo ya watuuuuuuu
Ni ajabu kuona namna baadhi ya Watanzania wasivyoelewa maana ya umuhimu wa vyombo vya habari. CLOUDS FM inaweza kuwa na matatizo yake ( na awali ya yote ni nani asiye na matatizo yake) lakin i kwa sasa ni redio ambayo inaongoza kwa kuwa na 'wateja' (wasikilizaji) wengi, ingawa utafiti wa kina bado haujafanyika.
Baadhi yetu sisi wana-JF tunavyozidi kuichukia na kuanzisha mjadala wa kuijadili ndivyo tunavyozidi kuipa ,chati' redio hii. Hata tv yao nayo ni kiboko. Hii ni redio ambayo siyo ya mafisadi ni ya watanzania wenzatu waliojaa ubunifu na kuthubutu kuanzisha kitu cha maana. Isipokuwa sisi baadhi ya watanzania tulivyo na wivu ndio maana sishangai kuona kuwa baadhi ywetu tumeanza kuichukia clouds ambayo hata ukichukia namna gani haisaidii.