Tetesi: Clement Mzize huyu hapa kwenye rada ya Wydad Casablanca ✅

Mzizee mwenyewee sasaaa🤣🤣watajuta maana yee akifika ndani ya 18 ya adui hugeuka kua beki wa Timu pinzanii anabutua puuuuu......ni machachalii🤣🤣
 
Huyu kijana wwetu Mzize yupo vizuri sana na bado ana umri mdogo. Akiendelea na jitihada za kujiyuma zaidiatafika mbali sana. Yanga wamruhusu dogo akakuze kipaji na kupata mkwanja wa maana.
 
Back
Top Bottom