Civil engineering ni moja ya kozi inferior UDSM-COET.

Coet mmebakiza jina tu. hamjiwezi kila nyanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayo logic yoyote ya kussurport argument yako?CoET usiifananishe na upuzi wowote hapa Tanzania.

~A Philanthropist|ยฃconomist|Business Consultant|Agribusiness Value Chain Analyst|Entrepreneur|Agricultural Applied Economics Analyst&Natural Resources Economics Mentor.Psalms[83:18].
 
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii.

Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni Telecom hii ndio inachukua best students.

Ukija mtaani watu waliosoma Telecom hawana maana sana km wale wa civil engineering(wajenzi)
Km una lolote tiririka....
COET not OET

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mpaka leo bado Telecom,wanachukua wanafunzi wenye alama za juu ?
 
Soma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.

Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.

Unasoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?
Hivi Telecom na IT tofauti Ni Nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnawaza hacking tuu.. Hv mnafikiria hacking ni kama kwenye movie
Soma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.

Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.

Unasoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mpaka leo bado Telecom,wanachukua wanafunzi wenye alama za juu ?
~CPE(chemical & processing engineering)=one ya tatu tu
~mining engineering=one ya tatu na nne
~Telacommunication engineering=one ya Yani Hadi Saba over.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Wewe dogo acha ujinga unajua unachokiandika au story za vijiweni .??
Eti CPE one ya tatu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii.

Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni Telecom hii ndio inachukua best students.

Ukija mtaani watu waliosoma Telecom hawana maana sana km wale wa civil engineering(wajenzi)
Km una lolote tiririka....
COET not OET

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanafunzi wanapenda Masomo marahisi ya Eng kama Telecom na Compyuta, lakini ukweli ni kuwa Civil Eng na Mechanical eng ni Course ngumu kama kama hujitambui utadicontinue
 
~CPE(chemical & processing engineering)=one ya tatu tu
~mining engineering=one ya tatu na nne
~Telacommunication engineering=one ya Yani Hadi Saba over.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
wewe jamaa mbona uko brainless saaana hivi wewe umeenda shule kweli? mbona hauko well informed kabisa please think big sometimes kaka stop being dump kaka
 
Back
Top Bottom