Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,741
- 40,875
hold on a minute..
CAG anasema:
Nikisoma maneno vizuri ni kama amesema kuangalia EPA, CIS, n.k Hii nakadhalika inanishangaza.. what else could have gone wrong huko Benki KUu? Kwanini tusiamue kuwaalika mabenka na wachumi wa kimataifa toka kama Japan au Uingereza kuipitia Benki Kuu na akaunti zake hizo zote au hata wale wale wa Deloitte and Touche ili once and for all watuambie kweli nini kimetokea Benki Kuu.. haya mambo ya kuangalia vitu kwa vipande vipande haya tutajikuta 40 years later bado tunaulizana maswali yale yale.
Benki Kuu ipewe a foreign management company kwa ubia na nchi kama za Skandinavia hivi n.k waieendeshe.. kwa sababu tumeshindwa. I know.. wengine watasema tunajidhalilisha uhuru wetu na tunajishusha ukweli ni kuwa wenyewe tayari tumejishusha!!!
CAG anasema:
The government should not end up with EPA only. It needs to arrange for a review of other areas with identified weaknesses like the Commodity Import Support (CIF) Fund