encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 513
- 397
Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa.
Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji.
Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani maji yanayonunuliwa na uongozi hayakidhi mahitaji.
Uongozi wa chuo unafikiria nini kuhusu vijana hawa hasa wa mwaka wa kwanza waliotoka mikoa mbalimbali kwenda kupata elimu katika chuo kikuu cha Dodoma.
Na kwanini waliojiajiri kutoa huduma ya maji kutokea nje (Wanaouza kwa kutumia tolori) wazuiwe?
Je, lengo la chuo ni wanafunzi watumie mda mwingi kutafuta maji badala ya kuwekeza muda wao kwenye mambo ya kitaaluma.
Hii ni AIBU KUBWA kwa chuo kama hiki kikubwa kukosa maji na pia kukosa hekima kwa kuzuia wanaouza maji kwa tolori kuhudumia wanachuo.