evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,208
- 8,550
Yani mwijaku alivyo kimuonekano tu eti wanapigana Kwa ajili Yake.
Au "teeth" wanacheza na akili zetu kupotezea ishu ya lissu na kauli za maaskofu?
Ila hii nchi!
Nyau de adriz
Hiyo ishu nilivyoielewa mimi ni kwamba hao wanafunzi wenzake wamempiga sio kwamba wanamgombania mwijaku .
Bali wamempiga kwa kumuona anawadhalilisha kwa kutembea na mtu wa hovyo mwijaku