BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Nikianza kufikiria haya kwamba ninaetaka kumzungumzia ama kum judge hata kama ni kwel anajishuhulisha na hayo mambo,
Nikianza kutafakari haya kwamba analipwa mshahara kwa hela ya kitanzania bilioni 1.044 kwa wiki before taxes, halafu nikizidi kutafakari ya kwamba ana mikataba na endorsements mbalimbali ndani ya spain ambayo its worth hela ya kitanzania bilioni 40, ambayo jumla yake kwa mwaka mmoja tu huyu naetaka kum judge kwamba ni GAY kwenye akaunti yake kwa hela ya kitanzania ni bilioni 38
Halafu nafikiria zaidi kwamba kuna mkataba ambao utakua wa maisha wazungu wanasema a life time contract ambao itakua na thamani ya shilingi trilioni 2 .japo haijawekwa wazi kwamba itakua ni nini ..sipati kabisa nguvu za kum judge ...labda akaunti isome figure zinazokribiana na hizo angalau kwa umbali wa km 10 ama 20 tu ama 50 tu ..ndio kidoooogo naweza nikam judge huyu kijana.