Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Pole. I don't argue with the Albino Eaters of Miombo. I just don't.
Pole. I don't argue with the Albino Eaters of Miombo. I just don't.
Nimelala Tune Hotel, Westlands 5 days nitashindwa kulala Kibera? Nakuja kwa research for 2 weeks tuta hang together utanisaidia nisivamiwe na machokoraa.huwezi ukafika bei ya Nairobi hata kama ni kule Kibera...too good for a poor tanzanian
Nimelala Tune Hotel, Westlands 5 days nitashindwa kulala Kibera? Nakuja kwa research for 2 weeks tuta hang together utanisaidia nisivamiwe na machokoraa.
Pole ila usilinganishe maisha unayoishi wewe na wengine, kama unaishi kwa shida usifikiri na huyu unachat nae ana life kama yako, utakosa fursa maishani.Huyu mwingine hata Hajafika District headquarters ya Kijiji chake cha Ujamaa... kazi tu ni google left right and centre..... Duuh. Wadanganyika si watatuonyesha mambo.... Sips! Tea.
Pole ila usilinganishe maisha unayoishi wewe na wengine, kama unaishi kwa shida usifikiri na huyu unachat nae ana life kama yako, utakosa fursa maishani.
Ila Nai kila mtu mwizi, nimeingia club manzi mmoja nimemnunulia bia tano anataka kwenda kulala na mimi, amenipa discount from $200 to $20Tehehehee.... The last i checked you were not a comedian
Ila Nai kila mtu mwizi, nimeingia club manzi mmoja nimemnunulia bia tano anataka kwenda kulala na mimi, amenipa discount from $200 to $20![]()
kumbe nia akaniibie, nikakataa kwenda nae akaondoka kumbe amefuata police wananichukua toka city center mpaka Kilalacho Police station eti nimesex nae sijamlipa pesa, manager wa hotel akanifuata na kunitoa bila kulipa single coin, acheni wizi mazee.
wewe mpumbavu mkubwa...manzi wa Nai wako na class yao...akiskia tu hicho kiswahili chako cha kitanzania na kifukara anajipea shuguli...ni nini mkenya anaweza tamani kutok kwa mtanzania?Ila Nai kila mtu mwizi, nimeingia club manzi mmoja nimemnunulia bia tano anataka kwenda kulala na mimi, amenipa discount from $200 to $20![]()
kumbe nia akaniibie, nikakataa kwenda nae akaondoka kumbe amefuata police wananichukua toka city center mpaka Kilalacho Police station eti nimesex nae sijamlipa pesa, manager wa hotel akanifuata na kunitoa bila kulipa single coin, acheni wizi mazee.
Dar is a good place, ukiwa town wako busy lakini wame smile, Nai hata ulipotea njia huwezi kuuliza kila mtu unaepishana nae kama analia au ameibiwa kitu anamtafuta mwizi wake, Si wanaume au wanawake.Acha Porojo ya vijiweni. Si Dar es salaam kila mtu ni conman..... Utapeli tu every street.
nai kama new york bana..watu wanajishighulisha...hkuna wakati wa salamu za peni mbili....sio kama dar watu wanajikokota....ndio maana mko nyuma vile nyie wavivuDar is a good place, ukiwa town wako busy lakini wame smile, Nai hata ulipotea njia huwezi kuuliza kila mtu unaepishana nae kama analia au ameibiwa kitu anamtafuta mwizi wake, Si wanaume au wanawake.
Dar is a good place, ukiwa town wako busy lakini wame smile, Nai hata ulipotea njia huwezi kuuliza kila mtu unaepishana nae kama analia au ameibiwa kitu anamtafuta mwizi wake, Si wanaume au wanawake.
Mbona wabongo wanatabia za kike hivi, kufuatafuata watu kila mahali bila kuitwa, sasa kwa huu uzi wabongo kazi yao nini??
Nimeshindwa kureason nao kwenye uzi wa Dar vs Nairobi, ukishindana na mwehu watu hawatajua tufaoti, sasa kwenye huu uzi wenye hauwahusu pia washa fika???
Kamilisha msemo ifuatayo:Pole ila usilinganishe maisha unayoishi wewe na wengine, kama unaishi kwa shida usifikiri na huyu unachat nae ana life kama yako, utakosa fursa maishani.