Orginal Qur'aan ndiyo hiyo matini,na ilihifadhuwa vifuani mwa watu na kwenye karatasi kisha ikawekwa kwenye kitabu kimoja.Ok tumesha maliza Koran hakuna original matini
Lakini vitabu vyote ambavyo ni Taurati,Zaburi,Injili na Qur'aan na kurasa za nabii Ibrahiim vyote vimedhibitiwa katika ubao wa kuhifadhia mambo.
Maswali yangu huko nyuma hukujibu,ya kwamba wapi waliabudu masanamu hao walio mtengenezea nabii Suleyman