Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,549
Sio kama unaona unakula sh@hawa??Mie katika mboga zilizonishinda kula ni mlenda, naona kama nakula makamasi.
Ila tembele na dagaa mwake, tamu sana.
Unafikiri mie wa kishua?...muulize Shark , nina ratiba ya vigodoro vyooote Dar mpaka akina Big'n chali, unawajua hawa?
Ha ha ha!!!Namjua Shark tu
Ushaniharibia siku zanguSio kama unaona unakula sh@hawa??
He,Ushaniharibia siku zangu
Evelyn Salt,Liverpool ya pale matejoo au Liverpool ya mbele
Hivi shemeji Ben yupo, kitambo sijamuona
Kitambo sana shem, nmefurahi kukuona
Asante sana mamii. Nimefurahi sana kuona comment yako Evelyn. Nilikuwa nimetingwa kidogoKitambo sana shem, nmefurahi kukuona
Huwezi kunipoteza Uswaz popote hapa Joto City.....nimeandika zaidi Manzese..Mabibo na Kigogo kwamba ndo chimbuko la Panya road na vigodoro...But sehemu zipo nyingiMtoa mada unapajua tandika taa nyekundu? Nenda halafu ulete mrejesho. Tabia za uswahilini ni zile zile tu. Mwananyamala kisiwani, kinondoni shamba, vingunguti, tandika, kigogo, kiwalani bombom, nk
Unatumia kigezo gani mkuu kusema hivyo? Hivi mabibo na kinondoni shamba kuko sawa? Hivi kigogo na keko kuko sawa? Hivi kigodoro cha manzese na cha tandika taa nyekundu huko kipi kikipigwa mtaa mzima unafungwa plus difenda za polisi zinapiga ruti mpaka asubuhi? basi huijui bongo wewe utakuwa umehadithiwa tu.Huwezi kunipoteza Uswaz popote hapa Joto City.....nimeandika zaidi Manzese..Mabibo na Kigogo kwamba ndo chimbuko la Panya road na vigodoro...But sehemu zipo nyingi
Km ni Cheo basi
Manzese : Raise
Kigogo: M/Raise
Mabibo : W/Mkuu
Kwingineko: Mawaziri
Basi km hujaelewa sio kosa lako....Unatumia kigezo gani mkuu kusema hivyo? Hivi mabibo na kinondoni shamba kuko sawa? Hivi kigogo na keko kuko sawa? Hivi kigodoro cha manzese na cha tandika taa nyekundu huko kipi kikipigwa mtaa mzima unafungwa plus difenda za polisi zinapiga ruti mpaka asubuhi? basi huijui bongo wewe utakuwa umehadithiwa tu.
Basi km hujaelewa sio kosa lako....
Kama una cha kuongeza kuhusu mada ongeza kwa faida ya wengine.....Mimi mswaz haswa
Ww umetisha kuliko wachangiaji woteDah maeneo ya kigogo mburahat sitasau vibaka walivo Nikabaki na kusepa na begi mixer kunitia panga wenyewe wnkwmbia kumkata mtu ngozi ni kumtoa k*ma
Mtoa mada pia usisahau maeneo mengine yaliyochachawa ni kiwalani na vingunguti duuh jangwan nako kuna vichwa vibovu kama sio vilivopinda