Chid Benz kama Case study: Wasanii wana michezo wanarogwa sana. Sababu hii hapa chini👇

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,420
30,793
Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba

" KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE"

( KIZARAMO : Kulonda = kutaka).

Hapo Inspekta alikuwa anazungumzia kungangamala katika ulimwengu wa kiroho.

Lazima uwe "MZITO" kama "KABWE" kama asemavyo Joh Makini kwenye wimbo " Niaje Nivipi".

Ukitazama kwa makini hayo maneno ya Babu " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" utakutana na maneno matatu 👇

1. Kulonda = Kutaka.

2. KAZI ya muziki = kazi ya muziki.

3. UGANGA ( male) = hiyo ( male) achana nayo hiyo baki na UGANGA. Male imetumika tu kukupoteza maboya.

Ila ujumbe ni KULONDA+ KAZI YA MUZIKI + UGANGA.

Ili kazi ya muziki uweze kuifanya kwa mafanikio lazima uloge ( uroge?) Lazima utembee kwa waganga. Inspekta alilijua hilo ndio maana alitoa code hiyo kwenye wimbo Ngangari na kama hiyo haitoshi aliyaishi maisha hayo. Ndio maana hata Zay B kwenye wimbo wake Gado remix ( featuring Juma Nature) ngoma ambayo ilikuwa aimed at Inspekta, Zay B anasikika akimwambia Inspekta kwamba " Fani haihitaji uchawi wala kuroga" Ukaribu wake na Inspekta wakati bado wapo kwenye good terms ulimfanya Zay B kujua lifestyle ya Inspekta katika hilo eneo la kiroho..

Wasanii wa muziki na filamu wanaroga na kurogwa sana.

Wachezaji wa mpira wanaroga na kurogwa sana.

Ni rahisi sana kwao kurogwa kwa sababu wanafanya kazi za wazi. Kazi zinazo onekana na watu wakiwemo maadui zao na watu wasio penda maendeleo yao. Tofauti na wewe ambae unafanya kazi ya ofisini au biashara. Sio kwamba hutarogwa, utarogwa but still you can be a little bit invisible from the point of all your enemies observation..

Katika ulimwengu wa kiroho? macho ni adui wa mafanikio.Na katika vitu unavyo takiwa kujikinga navyo ni macho maovu ( evil eyes)

Wasanii wa muziki filamu na wana michezo wanarogwa sana kwa sababu hizo ni tasnia zinazo weza KUBADILISHA maisha ya mtu kufumba na kufumbua.

Msanii/mwanamichezo lazima ajigange haswa..

Nyota ya msanii wa muziki au mwanamichezo kuzimwa ni suala ka kufumba na kufumbua.

Unakumbuka kisa cha Muumini Mwinjuma na yule mzee wa pale Bagamoyo ambae kwa sasa ni Marehemu? Muumini alienda kusimikwa nyota na kugangwa kwa mtu huyo kwa makubaliano kwamba akitoka arejeshe fadhila kwa kulipa kiasi ambacho walikuwa wamekubaliana. Kilicho tokea Muumini baada ya kutoka akamdhulumu yule Mzee. Mzee wa watu akaapa kwamba labda sio yeye na kwamba Muumini haton'gaa tena kimuziki na hicho ndicho kilicho tokea Muumini hajawahi kusimama tena tangu kipindi hicho.

Ali Choki na watu wake walijaribu kuleta vita na yule mmama wa Kigoma mwanasimba lia lia, kilicho wakuta hawawezi kusahau. Kwanza walitwezwa na kufedheheshwa. Wakati beef lipo kwenye tension, Choki aliwahi kuapa kwamba hatorudi tena kwenye hiyo bendi na hatozungumza tena na mama yule hadi anarudi kwa Mola wake lakini miezi kadhaa baadae Choki alirejea kwenye bendi hiyo kwa magoti ambako hata hivyo hakudumu sana now nasikia yupo Mwanza huko..

Hawa machawa wengi mnao waona wengi wao wanapewa uchawa kwa sababu ya uchawi. wana wa link Wasanii wao na wachawi wazito. Yule jamaa mfipa wa Kigoma ambae zamani alikuwaga ana rap na kina Juma Nature wewe muone hivyo hivyo. Ana " watu" ndio maana Wasanii wana muweka karibu.

Mambo ni mengi sana so rahisi kuyaelezea yote but

BACK TO CHID BENZ.

1. Chid Benz anarogwa/ alirogwa...

2. Chid Benz harogi wala hawajui waganga.

3. Chid Benz alikuwa na nyota Kali sana.

4. Chid Benz kiuhalisia ni mtu powa sana na yupo generous sana hasa anapokuwa na nafasi. Ndio maana alivyo kuwa kwenye prime yake alisaidia watu wengi sana.

5. Chid Benz alikuwa anapendwa sana na kupitia kupendwa kwake angeweza kuinuliwa juu zaidi ya nafasi aliyokuwa nayo

Wachawi waliona nyota ya kukubalika kwake. Wakamtupia wadudu ambao wamemfunga kwenye uraibu wa mihadarati...

Nimetazama interview ya Chid Leo nimejisikia kutokwa na machozi kumuona mwamba akiwa katika hali hiyo...

Chid Benz why???
 
Hakuna mtu kamloga Chid Benz.
Kinachomtesa Chidi ni kutotaka kukubali wakati wake wa muziki ulishaisha na hakutumia vizuri wakati wake.
Kama ni madawa kina Darasa waliingia uko lakini walisaidiwa wakatoka na wanaendelea kufanya maisha yao.
Pia Chidi ni mtu anaejipa umuhimu sana kwenye sanaa ya bongofleva kiasi kwamba amekosa discipline hii inamcost sana ashapewa sana second chance watu washampigania sana lakini ni sikio la kufa.
Analaumu kila mtu anataka awe amekaa hapo watu wanamtumia hela aende kuvuta unga kitu ambacho sio kweli...flan niliimbaga nae ila hanipi hela hii ni akili au matope?
Lazima Chidi akubali yeye kwenye mziki kazi ishaisha watu juzi hapa walitaka kumbeba kaandaliwa kila kitu ila ugomvi jeuri ujuaji watu wanamuogopa ni kama unafanya kazi na kibaka huwezi kuwa na amani.
Mungu amsaidie ila kama mama yake kanyoosha mikono juu basi unga na depression soon vitammaliza kabisa.
 
Wasanii wote wa zamani wachache wanao-hit, siyo kulogwa ila mziki wao umepitwa na wakati imekuja kizazi kipya. Wasanii wa zamani ambao bado wanasikiliza ni kama Alikiba ambaye anabadilikia humo humo kwenye game,ila walioshindwa kubadilika wamepotea maana mda wao umepita..hata hip hop ya bongo imebadilika unaona Fid Q bado yupo na weusi ni kwasababu wamebadilisha ladha ya hip hop na kuwashirikisha wasanii wa sasa. Unamwona Msodoki ha-hit kivile ni kwa sababu bado anatumia mtindo wa zamani.

Kina Young Dee na Young Lunya wanaenda na flow za sasa na maneno pia.
Watu sasa hivi ujumbe kidogo tena wa kipuuzi ila swagger nyingi na maproduza kushindana kwenye instruments

Ndo maana unasikia kila sehemu"

..bora ni enjoy dididididid'...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mbishi sana na mjuaji hata we hapo ukaambiwa bargain nae muandae show bado utaogopa
Pale TU unaona kabae anaendesha show kwa shida sana
NB:umeandika kwa kirefu sana mkuu
Of course Chidy ni much know sana hilo linajulikana lakini ni mtu powa sana linapokuja suala la kazi. Show imekuwa ngumu kwa sababu Chidy kaingia kwenye show akiwa amewaka
 
Wasanii wote wa zamani wachache wanao-hit, siyo kulogwa ila mziki wao umepitwa na wakati imekuja kizazi kipya. Wasanii wa zamani ambao bado wanasikiliza ni kama Alikiba ambaye anabadilikia humo humo kwenye game,ila walioshindwa kubadilika wamepotea maana mda wao umepita..hata hip hop ya bongo imebadilika unaona Fid Q bado yupo na weusi ni kwasababu wamebadilisha ladha ya hip hop na kuwashirikisha wasanii wa sasa. Unamwona Msodoki ha-hit kivile ni kwa sababu bado anatumia mtindo wa zamani.

Kina Young Dee na Young Lunya wanaenda na flow za sasa na maneno pia.
Watu sasa hivi ujumbe kidogo tena wa kipuuzi ila swagger nyingi na maproduza kushindana kwenye instruments

Ndo maana unasikia kila sehemu"

..bora ni enjoy dididididid'...

Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi mkuu ila kufulia kimuziki ni suala jingine na kuwa katika state aliyo nayo Chidy ni suala.jingine pia. Wapo Wasanii wengi walio fulia kimuziki kama.vile Inspekta, Nature etc lakini hawajaingia kwenye uteja. Jingine Chidy ameanza kupenga toka yupo kwenye his prime sema kipindi kile hakuna mtu aliweza ku notice kwa sababu alikuwa na hela so alikuwa anakula unga msafi kama anaokula superstar wetu wa bongo now.

Walio mtupia wadudu walimtupia kimkakati.

walilenga kwenye long term effect
 
Wasanii wote wa zamani wachache wanao-hit, siyo kulogwa ila mziki wao umepitwa na wakati imekuja kizazi kipya. Wasanii wa zamani ambao bado wanasikiliza ni kama Alikiba ambaye anabadilikia humo humo kwenye game,ila walioshindwa kubadilika wamepotea maana mda wao umepita..hata hip hop ya bongo imebadilika unaona Fid Q bado yupo na weusi ni kwasababu wamebadilisha ladha ya hip hop na kuwashirikisha wasanii wa sasa. Unamwona Msodoki ha-hit kivile ni kwa sababu bado anatumia mtindo wa zamani.

Kina Young Dee na Young Lunya wanaenda na flow za sasa na maneno pia.
Watu sasa hivi ujumbe kidogo tena wa kipuuzi ila swagger nyingi na maproduza kushindana kwenye instruments

Ndo maana unasikia kila sehemu"

..bora ni enjoy dididididid'...

Sent using Jamii Forums mobile app
nimechekaaa balaa
 
Of course Chidy ni much know sana hilo linajulikana lakini ni mtu powa sana linapokuja suala la kazi. Show imekuwa ngumu kwa sababu Chidy kaingia kwenye show akiwa amewaka
Mkuu ni kazi kufanya kazi na mtu ambae ni unpredictable ila kuwa mtu poa Wala sikatai maana simjui sana ila dah nimeangalia show sijaimaliza halafu inawezekana hatumii madawa as madawa ila anatumia methadone maana mbona kanenepa na methadone ndio mi najua inafanya mtu anaongea sana
 
Maana kslapina amesaidia wengi tena mfano fanani alikua mteja miaka 15.. Kalapina anatakiwa apewe medali yake na nchi
Cha ajabu hakupewa tuzo Arusha wamepewa watu ambao hawakustaili, kapewa mtu ambaye hata siku moja kuzungumzia madawa sio mazuri, Bora ya makonda alivyopewa.
 
Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba

" KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE"

( KIZARAMO : Kulonda = kutaka).

Hapo Inspekta alikuwa anazungumzia kungangamala katika ulimwengu wa kiroho.

Lazima uwe "MZITO" kama "KABWE" kama asemavyo Joh Makini kwenye wimbo " Niaje Nivipi".

Ukitazama kwa makini hayo maneno ya Babu " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" utakutana na maneno matatu

1. Kulonda = Kutaka.

2. KAZI ya muziki = kazi ya muziki.

3. UGANGA ( male) = hiyo ( male) achana nayo hiyo baki na UGANGA. Male imetumika tu kukupoteza maboya.

Ila ujumbe ni KULONDA+ KAZI YA MUZIKI + UGANGA.

Ili kazi ya muziki uweze kuifanya kwa mafanikio lazima uloge ( uroge?) Lazima utembee kwa waganga. Inspekta alilijua hilo ndio maana alitoa code hiyo kwenye wimbo Ngangari na kama hiyo haitoshi aliyaishi maisha hayo. Ndio maana hata Zay B kwenye wimbo wake Gado remix ( featuring Juma Nature) ngoma ambayo ilikuwa aimed at Inspekta, Zay B anasikika akimwambia Inspekta kwamba " Fani haihitaji uchawi wala kuroga" Ukaribu wake na Inspekta wakati bado wapo kwenye good terms ulimfanya Zay B kujua lifestyle ya Inspekta katika hilo eneo la kiroho..

Wasanii wa muziki na filamu wanaroga na kurogwa sana.

Wachezaji wa mpira wanaroga na kurogwa sana.

Ni rahisi sana kwao kurogwa kwa sababu wanafanya kazi za wazi. Kazi zinazo onekana na watu wakiwemo maadui zao na watu wasio penda maendeleo yao. Tofauti na wewe ambae unafanya kazi ya ofisini au biashara. Sio kwamba hutarogwa, utarogwa but still you can be a little bit invisible from the point of all your enemies observation..

Katika ulimwengu wa kiroho? macho ni adui wa mafanikio.Na katika vitu unavyo takiwa kujikinga navyo ni macho maovu ( evil eyes)

Wasanii wa muziki filamu na wana michezo wanarogwa sana kwa sababu hizo ni tasnia zinazo weza KUBADILISHA maisha ya mtu kufumba na kufumbua.

Msanii/mwanamichezo lazima ajigange haswa..

Nyota ya msanii wa muziki au mwanamichezo kuzimwa ni suala ka kufumba na kufumbua.

Unakumbuka kisa cha Muumini Mwinjuma na yule mzee wa pale Bagamoyo ambae kwa sasa ni Marehemu? Muumini alienda kusimikwa nyota na kugangwa kwa mtu huyo kwa makubaliano kwamba akitoka arejeshe fadhila kwa kulipa kiasi ambacho walikuwa wamekubaliana. Kilicho tokea Muumini baada ya kutoka akamdhulumu yule Mzee. Mzee wa watu akaapa kwamba labda sio yeye na kwamba Muumini haton'gaa tena kimuziki na hicho ndicho kilicho tokea Muumini hajawahi kusimama tena tangu kipindi hicho.

Ali Choki na watu wake walijaribu kuleta vita na yule mmama wa Kigoma mwanasimba lia lia, kilicho wakuta hawawezi kusahau. Kwanza walitwezwa na kufedheheshwa. Wakati beef lipo kwenye tension, Choki aliwahi kuapa kwamba hatorudi tena kwenye hiyo bendi na hatozungumza tena na mama yule hadi anarudi kwa Mola wake lakini miezi kadhaa baadae Choki alirejea kwenye bendi hiyo kwa magoti ambako hata hivyo hakudumu sana now nasikia yupo Mwanza huko..

Hawa machawa wengi mnao waona wengi wao wanapewa uchawa kwa sababu ya uchawi. wana wa link Wasanii wao na wachawi wazito. Yule jamaa mfipa wa Kigoma ambae zamani alikuwaga ana rap na kina Juma Nature wewe muone hivyo hivyo. Ana " watu" ndio maana Wasanii wana muweka karibu.

Mambo ni mengi sana so rahisi kuyaelezea yote but

BACK TO CHID BENZ.

1. Chid Benz anarogwa/ alirogwa...

2. Chid Benz harogi wala hawajui waganga.

3. Chid Benz alikuwa na nyota Kali sana.

4. Chid Benz kiuhalisia ni mtu powa sana na yupo generous sana hasa anapokuwa na nafasi. Ndio maana alivyo kuwa kwenye prime yake alisaidia watu wengi sana.

5. Chid Benz alikuwa anapendwa sana na kupitia kupendwa kwake angeweza kuinuliwa juu zaidi ya nafasi aliyokuwa nayo

Wachawi waliona nyota ya kukubalika kwake. Wakamtupia wadudu ambao wamemfunga kwenye uraibu wa mihadarati...

Nimetazama interview ya Chid Leo nimejisikia kutokwa na machozi kumuona mwamba akiwa katika hali hiyo...

Chid Benz why???
Natamani kipaji changu cha Soka kingeendelezwa professionally ili nicheze kwa kutumia kipaji tu bila kumroga mtu halafu mtu angejaribu kuniroga aone kazi. Ambacho angekutana nacho angesimulia wachawi wenzake wote.

Niseme tu kwa kifupi,Yesu hakuja duniani kuzurura alijua tunamuhitaji sana!
 
Huw3zi

Afrika Huwezi kucheza mpira Kikristo mkuu labda Ulaya, mwenzako Banda wa Simba alitaka kuleta hizo yamemshinda
 
Hakuna mtu kamloga Chid Benz.
Kinachomtesa Chidi ni kutotaka kukubali wakati wake wa muziki ulishaisha na hakutumia vizuri wakati wake.
Kama ni madawa kina Darasa waliingia uko lakini walisaidiwa wakatoka na wanaendelea kufanya maisha yao.
Pia Chidi ni mtu anaejipa umuhimu sana kwenye sanaa ya bongofleva kiasi kwamba amekosa discipline hii inamcost sana ashapewa sana second chance watu washampigania sana lakini ni sikio la kufa.
Analaumu kila mtu anataka awe amekaa hapo watu wanamtumia hela aende kuvuta unga kitu ambacho sio kweli...flan niliimbaga nae ila hanipi hela hii ni akili au matope?
Lazima Chidi akubali yeye kwenye mziki kazi ishaisha watu juzi hapa walitaka kumbeba kaandaliwa kila kitu ila ugomvi jeuri ujuaji watu wanamuogopa ni kama unafanya kazi na kibaka huwezi kuwa na amani.
Mungu amsaidie ila kama mama yake kanyoosha mikono juu basi unga na depression soon vitammaliza kabisa.
Mkuu umesema vizuri kabisa na mwandishi atuuulize watu tulioishi na huyo Rashid makwilo ilala Magorofani flat pale za NHC tutakupa story zake na usio Kwa ubaya Mungu alimpa nafasi ila yeye mwenyewe ndio kaharibu.
 
Mkuu nimesoma heading tu sijaenda deep ila nikuulize ni nani pia anawaroga ma-star wote wa huko Ughaibuni ? Ni Wasanii wachache sana ambao baada ya peak wanakuwa juu na ni wachache zaidi ambao unakuta hawaja-abuse drugs n.k.

Mtu bado mdogo, Fame (kila mtu anakujua) madada wanajilengesha, Umezungukwa na machawa na ni partying kila dakika wakati mwingine huna mambo ya kufanya na ukiwa bored kuna party after party after party (unless una management nzuri sana ni rahisi kwenda haywire)

Vilevile ulizoea kila mtu anasimama anakushangaa na kukuomba autograph ukipitwa na wakati hata watu hawakuangalii zaidi ya kukupita (lazima upate stress)....; Like the say Its hard getting on Top but its even harder to maintain the Position
 
Huw3zi

Afrika Huwezi kucheza mpira Kikristo mkuu labda Ulaya, mwenzako Banda wa Simba alitaka kuleta hizo yamemshinda
Ndugu nilichokiandika hapo nina ushahidi nacho 100%. Usidhani hata sasa hakuna wanaojaribu kuniroga.

Yesu yupo kazini mkuu. Wengi wanasikia tu habari zake lakini ni wachache sana wanaoushuhudia UWEZA wake maishani mwao.
 
Back
Top Bottom