Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

ndio maana namuona diamond anajitahidi sana asishuke chini, ulichosema ni sahihi 100%, ugopa sana kushuka level flani , lazima upate stress.
Huwezi kubaki level ile ile unafanya kile kile unachoweza kufanya ni ku-metamorphosize katika fani unayoipenda au labda ufe kabla ya wakati wako... Kumbuka mtaji wako / kitendea kazi ni wewe..., kama unaimba kuna siku sauti itakata / itazeeka unless ubadilishe genre ya muziki au ubadilishe sehemu / kitengo (labda uwe producer au mwandishi wa kazi za watu) hio ipo industry karibia zote za entertainment (kama ulikuwa actor unapendwa sababu ya appearance ukianza kuzeeka unaweza ukawa consultant / director au kitu kingeni (so long as industry hio ni hobby yako)

Stress ni watu kutokukubaliana na inevitability....
 
Hakuna mtu kamloga Chid Benz.
Kinachomtesa Chidi ni kutotaka kukubali wakati wake wa muziki ulishaisha na hakutumia vizuri wakati wake.
Kama ni madawa kina Darasa waliingia uko lakini walisaidiwa wakatoka na wanaendelea kufanya maisha yao.
Pia Chidi ni mtu anaejipa umuhimu sana kwenye sanaa ya bongofleva kiasi kwamba amekosa discipline hii inamcost sana ashapewa sana second chance watu washampigania sana lakini ni sikio la kufa.
Analaumu kila mtu anataka awe amekaa hapo watu wanamtumia hela aende kuvuta unga kitu ambacho sio kweli...flan niliimbaga nae ila hanipi hela hii ni akili au matope?
Lazima Chidi akubali yeye kwenye mziki kazi ishaisha watu juzi hapa walitaka kumbeba kaandaliwa kila kitu ila ugomvi jeuri ujuaji watu wanamuogopa ni kama unafanya kazi na kibaka huwezi kuwa na amani.
Mungu amsaidie ila kama mama yake kanyoosha mikono juu basi unga na depression soon vitammaliza kabisa.
Wewe msssssenge innocent dependent unapenda kuongea uongo kisa tu dayamondi anakutatua marinda. Wewe matterco lokole tunakujua vizuri shoga wewe mpigwa miti
 
Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba

" KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE"

( KIZARAMO : Kulonda = kutaka).


Hapo Inspekta alikuwa anazungumzia kungangamala katika ulimwengu wa kiroho.

Lazima uwe "MZITO" kama "KABWE" kama asemavyo Joh Makini kwenye wimbo " Niaje Nivipi".

Ukitazama kwa makini hayo maneno ya Babu " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" utakutana na maneno matatu 👇

1. Kulonda = Kutaka.

2. KAZI ya muziki = kazi ya muziki.

3. UGANGA ( male) = hiyo ( male) achana nayo hiyo baki na UGANGA. Male imetumika tu kukupoteza maboya.

Ila ujumbe ni KULONDA+ KAZI YA MUZIKI + UGANGA.

Ili kazi ya muziki uweze kuifanya kwa mafanikio lazima uloge ( uroge?) Lazima utembee kwa waganga. Inspekta alilijua hilo ndio maana alitoa code hiyo kwenye wimbo Ngangari na kama hiyo haitoshi aliyaishi maisha hayo. Ndio maana hata Zay B kwenye wimbo wake Gado remix ( featuring Juma Nature) ngoma ambayo ilikuwa aimed at Inspekta, Zay B anasikika akimwambia Inspekta kwamba " Fani haihitaji uchawi wala kuroga" Ukaribu wake na Inspekta wakati bado wapo kwenye good terms ulimfanya Zay B kujua lifestyle ya Inspekta katika hilo eneo la kiroho..


Wasanii wa muziki na filamu wanaroga na kurogwa sana.

Wachezaji wa mpira wanaroga na kurogwa sana.

Ni rahisi sana kwao kurogwa kwa sababu wanafanya kazi za wazi. Kazi zinazo onekana na watu wakiwemo maadui zao na watu wasio penda maendeleo yao. Tofauti na wewe ambae unafanya kazi ya ofisini au biashara. Sio kwamba hutarogwa, utarogwa but still you can be a little bit invisible from the point of all your enemies observation..

Katika ulimwengu wa kiroho? macho ni adui wa mafanikio.Na katika vitu unavyo takiwa kujikinga navyo ni macho maovu ( evil eyes)

Wasanii wa muziki filamu na wana michezo wanarogwa sana kwa sababu hizo ni tasnia zinazo weza KUBADILISHA maisha ya mtu kufumba na kufumbua.

Msanii/mwanamichezo lazima ajigange haswa..

Nyota ya msanii wa muziki au mwanamichezo kuzimwa ni suala ka kufumba na kufumbua.


Unakumbuka kisa cha Muumini Mwinjuma na yule mzee wa pale Bagamoyo ambae kwa sasa ni Marehemu? Muumini alienda kusimikwa nyota na kugangwa kwa mtu huyo kwa makubaliano kwamba akitoka arejeshe fadhila kwa kulipa kiasi ambacho walikuwa wamekubaliana. Kilicho tokea Muumini baada ya kutoka akamdhulumu yule Mzee. Mzee wa watu akaapa kwamba labda sio yeye na kwamba Muumini haton'gaa tena kimuziki na hicho ndicho kilicho tokea Muumini hajawahi kusimama tena tangu kipindi hicho.

Ali Choki na watu wake walijaribu kuleta vita na yule mmama wa Kigoma mwanasimba lia lia, kilicho wakuta hawawezi kusahau. Kwanza walitwezwa na kufedheheshwa. Wakati beef lipo kwenye tension, Choki aliwahi kuapa kwamba hatorudi tena kwenye hiyo bendi na hatozungumza tena na mama yule hadi anarudi kwa Mola wake lakini miezi kadhaa baadae Choki alirejea kwenye bendi hiyo kwa magoti ambako hata hivyo hakudumu sana now nasikia yupo Mwanza huko..


Hawa machawa wengi mnao waona wengi wao wanapewa uchawa kwa sababu ya uchawi. wana wa link Wasanii wao na wachawi wazito. Yule jamaa mfipa wa Kigoma ambae zamani alikuwaga ana rap na kina Juma Nature wewe muone hivyo hivyo. Ana " watu" ndio maana Wasanii wana muweka karibu.

Mambo ni mengi sana so rahisi kuyaelezea yote but

BACK TO CHID BENZ.

1. Chid Benz anarogwa/ alirogwa...


2. Chid Benz harogi wala hawajui waganga.

3. Chid Benz alikuwa na nyota Kali sana.

4. Chid Benz kiuhalisia ni mtu powa sana na yupo generous sana hasa anapokuwa na nafasi. Ndio maana alivyo kuwa kwenye prime yake alisaidia watu wengi sana.


5. Chid Benz alikuwa anapendwa sana na kupitia kupendwa kwake angeweza kuinuliwa juu zaidi ya nafasi aliyokuwa nayo


Wachawi waliona nyota ya kukubalika kwake. Wakamtupia wadudu ambao wamemfunga kwenye uraibu wa mihadarati...

Nimetazama interview ya Chid Leo nimejisikia kutokwa na machozi kumuona mwamba akiwa katika hali hiyo...

Chid Benz why???
Here is my simple case study, poor life choices zinazowmbata na failure hatutaki kuubeba ukweli badala yake tunasingizia nguvu za giza, huyu msanii na wenzie wabebe uhalisia wa maisha na kuulubali ukweli.

What happens when umaarufu unapoisha , when hupati shows kama zamani tena, hata wasanii wenzako hawakupi shavu? What left of you?
 
Of course Chidy ni much know sana hilo linajulikana lakini ni mtu powa sana linapokuja suala la kazi. Show imekuwa ngumu kwa sababu Chidy kaingia kwenye show akiwa amewaka
U much know wake unatokana na uraibu wa madawa ya kulevya, mateja wengi kama ulishawahi kukaa nao karibu utagundua kuwa kila kitu wanajua wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom