Cheti cha University kimeokotwa

Moja ya sababu niijuayo ni graph ya matokeo yako ya mwisho wa semester iwe inapanda
siku hizi mambo yamebadilika. zamani ilikuwa kama hukuwahi kupata supplementary, cheti kinaandikwa "with honours" Lakini nowadays, Elimu imekuwa simplified some how..nimeshaona vijana kadhaa wana "Pass(GPA-2.6) na vyeti vimeandikwa with honours...The term, with honour...is no longer big deal!
 
nieleweshe kuhusu honours naona ana grade kama yangu afu ana honours me sina
 
nieleweshe kuhusu honours naona ana grade kama yangu afu ana honours me sina
Kwa Ufahamu wangu, With Honors ina maana kuwa Hajawahi kushuka GPA tangu anaanza semester ya kwanza mpaka anamaliza. Yaani kama alianza na GPA ya 2.5 maana yake itafata GPA ya 2.7, 2.9, 3.0, 3.2, 3.3 na kuendelea. Hiyo ndo mtu anatunukiwa Cheti kilichoandikwa with Honors.
siku hizi mambo yamebadilika. zamani ilikuwa kama hukuwahi kupata supplementary, cheti kinaandikwa "with honours" Lakini nowadays, Elimu imekuwa simplified some how..nimeshaona vijana kadhaa wana "Pass(GPA-2.6) na vyeti vimeandikwa with honours...The term, with honour...is no longer big deal!
Duh Second lower halafu imeandikwa honours, kweli mlimani kwenye masomo ya bishara wamechoka kinoma.
 
Kwa Ufahamu wangu, With Honors ina maana kuwa Hajawahi kushuka GPA tangu anaanza semester ya kwanza mpaka anamaliza. Yaani kama alianza na GPA ya 2.5 maana yake itafata GPA ya 2.7, 2.9, 3.0, 3.2, 3.3 na kuendelea. Hiyo ndo mtu anatunukiwa Cheti kilichoandikwa with Honors.
Mkuu, kiuhalisia honours inatolewa kwenye academic excellency. Hii inamaanisha kwa mwanafunzi aliyefaulu vizuri ikiwemo kutopata supplementary or kupata namba za viatu...! kwa mfano, kama semister ya kwanza alipata GPA ya 3.9 but semister inayofuata akapata GPA ya 3.4 then next akapata 3.8....na mpaka mwisho wa shule akajikuta ana GPA ya 3.7....huyu tutamu-award..."Upper second class with honours"-ilimradi hakuwahi kupata supplementary! sijui kama utaratibu huo bado unaendelea kwani siko tena kwenye learning Institution kwa muda mrefu.....
 
With Honours lakini Second class, lower division!

Does it make sense?
 
Back
Top Bottom