Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 675
ndio watamtupa ukouko.sidhani kama nafasi ya balozi adadi imejazwaHalafu mjue anaweza pelekwa hapo Zimbabwe tu
ndio watamtupa ukouko.sidhani kama nafasi ya balozi adadi imejazwaHalafu mjue anaweza pelekwa hapo Zimbabwe tu
Hii awamu ni awamu ta udini wa hatari, udini wa waziwazi ukiongozwa na Mkuu mwenyewe
Ungeona zile documents ambazo ziliwekwa hapa asubuhi na moderators wakaharakisha kufunga uzi nadhani mngeacha haya mawazo yenu ya kipuuzi. Na kv mmejawa mawazo ya kipuuzi unadhani kila anayevaa kanzu ni shehe.bora tu alivyotolewa NSSF,..jana nimeenda NSSFnimekuta hali ambayo sikuipenda.......
nilkuwa na MTU flani shehe kavaa kanzu na balaghashia, sio mzee........
alihudumiwa kwa heshima na kuitwa kwa wahudumu wa mbele pale M3..minlibaki nimekaa2
na nikapitwa,walimsaidia yule shehe hatua zake zote hadi akamaliza shida zake...
dau kaweka udini kule
unaifahamu vzr NSSF kabla dau hajaenda???Ukikuta PSPF Mwenye Kanzu ndio kaachwa na wahudumu anahudumiwa mwenye Tishert na Jeans au suti ungekuja na theory gani?
Donald Trumph anatujua Vizur Waafrika kuliko tunavyojijua. Sometime tunahitaji kuwa Recolonized. Haiwezekani vitu visivyo serious tuvichukulie serious na vilivo serious tusivichukulie serious.
Siku Mzee Mkapa anamteua Dr.Dau kutoka Marketing Manager TPA mwaka 2000 kuwa DG NSSF hata Dau mwenyewe alijua one day ataondoka NSSF,iweje kuondoka kwake tufanye ajenda ya Kitaifa kudhalilisha imani za watu?
unaifahamu vzr NSSF kabla dau hajaenda???
Apelekwe Italy tu, kuna jamaa pale Torino wanatengeneza ile kitu wacha kabisa.Halafu mjue anaweza pelekwa hapo Zimbabwe tu
Barozi = BaloziUkitaka kujua Barozi na DG nani mkubwa waulize wale waliokuwa mabarozi tena Ulaya lakini walipoona ubarozi haulipi waliamua kurudi na kugombea ubunge potelea mbali hata kama watakosa uwaziri. Tanzania tuna mabarozi wengi sana, je ni wangapi unawajua. Kuna jenereli mmoja aliwahi kupewa ubarozi, tangu hapo sijawahi kumsikia tena na wala sijui kama anaendelea na ubarozi wake au ndo asharudi. Kifupi ukiwa barozi unakuwa total isolated.
Usisema LAPF sema NSSF pension fund ambayo ni one of the biggest in the country.Nawauliza Ndugu zangu wana JF kuwa Balozi na kuwa Director General wa Shirika kama LAPF, kati ya hizo kipi ni cheo kikubwa?
Sasa Dau akistaafu atalipwa stahili za NSSF au za Serikali kuu?