...Itakuwa bomba sana kama Drogba & Co watawatungua tena leo BARCA na hivyo kuweza kuingia kwenye UEFA final hapo May 19th, 2012.
chelsea advanatge goli la ugenini
belinda umesuuza roho yangu wewe!Chelsiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....haya 2-1 sasa, darajani mbele!!
Mapumziko..
B unasemaje
Chelsiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....haya 2-1 sasa, darajani mbele!!
Mapumziko..
....Poa tu B leo naona tuko pande tofauti LOL! itakuwa poa sana mkipoteza mechi ya leo...Ila kwa kuwa Chelsea wako 10 basi baada ya HT mtashambulia kama nyuki na si ajabu mkapata hata mawili zaidi.
belinda naweza kuku pm baadaye tafadhali?