lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,757
- 23,543
Leo Chelsea wanawake wamefanya vitu vyao kwenye semi final ya FA
Chelsea 3 - Man city 0
Chelsea 3 - Man city 0
Ndugu yangu mbona unaongea kama bugattiOle anawapatia sana nyinyi nyumbu... Naona jana alikuwa anapuliza.
Ukifika muda wa kung'ata mkae kwa kutulia
Nyinyi ni nyumbu tu nothing can change it...Ndugu yangu mbona unaongea kama bugatti
Nani nyumbu unikome wee!tangu nikiwa mdogo na timu langu la bluu upo?Nyinyi ni nyumbu tu nothing can change it...
Sorry mkuuNani nyumbu unikome wee!tangu nikiwa mdogo na timu langu la bluu upo?
Buluu haswaa yupo 😂😂 you made ma day 42774277Nani nyumbu unikome wee!tangu nikiwa mdogo na timu langu la bluu upo?
Yaani kuna sehemu umeandika kama bugatti si unajua anavyopenda kutamba utasikia timu kama timu limefanyeje sijuiSorry mkuu
Bado hujaweka Assists mojaConor Gallagher for Crystal Palace vs. Man City:
◉ Most tackles (5)
◉ Most chances created (4)
◉ Most shots (2)
◉ Most shots on target (2)
◉= Most goals (1)
Crystal Palace have an interest to sign Conor Gallagher. Permanently
📰 It will cost Crystal Palace up to £40million to prise Conor Gallagher away from Chelsea on a permanent basis, according to journalist Tom Barclay.
Game 10 mmeshaota mapembe ,mnajiona mshabeba ubingwa ,nyie ni kenge tu ...Man City kuifunga Chelsea walibahatisha sana, tukikutana tena tutawakomehsa mazima na TT akaacha kuja na falsafa ya kujihami tutawatundika kweli kweli
Tulia wewe uliwe kizaga icho Jana wamekipanua Tena😂😂😂😂🤣Game 10 mmeshaota mapembe ,mnajiona mshabeba ubingwa ,nyie ni kenge tu ...
Hanma jipya lolote la kututisha ,Chelsea ni underdog tu mbele ya city ....
Kama mnataka game nyingine baada ya kuvunja daraja njooni etihad next round tuwale kiboga mamaee ....!!
Mkuu umepanuliwa wewe ninTulia wewe uliwe kizaga icho Jana wamekipanua Tena
Nyie ni matakataka tu..Mkuu umepanuliwa wewe nin
Utajua hujui very soonBila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....
Game ya Liverpool ...
Game ya Brentford ....
Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...
Bahati inawabeba kenge nyie .....
Sasa tutajadili nini mkuu wakati point 3 na goal za kutosha zipo mezani?Kesho tunakipiga wakuu. Mbona naona kimya sana humu.