Chelsea ni kama kikundi cha madereva bajaji waliojikusanya wakapashe baada ya kupiga mishe zao.

Hakuna kitu, kuanzia kocha mpaka asilimia 80-90 ya wachezaji, hivi mtu kama Mason Mount anaweza akaanza timu gani kubwa yenye mpango wa kuchukua kombe lolote kubwa ulaya ?

Hapo sijamtaja caballero , giroud , james na wapuuzi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wamekuwepo coz ya ban waliyopewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LAMPARD AMESHASHINDWA KUPATA 11 ANAYOIAMINI DAH SUB Z AKILI KASHINDWA
Hakuna mchezaj hata wa sub anayeweza badilisha matokeo
Wachezaj wote tulionao ni average player wengine wanaonekana wabovu coz ya wenzao

Halaf ukiangalia ubora wa chelsea hii na bayern hii ni mkubwa sana hatuna wachezaj wakupambana na bayern kwa sasa sion shida yyt ya kocha kwa hii game bayern wako vizur kuanzia first eleven yao mpaka sub zao
Wewe sub yako una pedro,emerson,gilmour

Wenzako wana coutinho,goretzka,hernandez,toliso hao wote ni wachezaj wanaoweza kupa matokeo mda wowote

Kumlalamikia lampard kwa mechi ya leo ni sawa na kuamin kuwa leo tulikuwa tunashinda kwa lazima wakat nikitu cha uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea (chawote) fc, man u kapita.. Munich nae kapita na wengine watapita
FB_IMG_1565896382917.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom