lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,986
- 23,725
Prove huo umbeya wao
na ndio maana kule kwao wamegawanyika gawanyika kwa sababu ay umbea mwingi na much know nyingi sana
Prove huo umbeya wao
Hapana ndugu, wapo akinaHao wanaofundisha timu ndogo ndo kiwango chao.
I doupt kama wewe unaongeaga kwa kutumia the relevant part of your brain, bahati itabaki kuwa bahati au kiingereza luck au gambling. huwezi kuamua kubahatisha"ALISIKIKA MLEVI MMOJA AKISEMA HAYO ULIYOYAANDIKA"
Swali ni Je Kwanini na nyinyi Musibahatishe?
Au bahati ipo kwa wengine tu lakini si kwa Chelsea?
Maneno ya Mkosaji hayo yenu
Kama kubeba CL ni kubahatisha! Next season bahatisheni na Nyinyi
Makocha wapo mkuu tena wazuri tu sema wanafundisha team ndogo na ukiwapa nafasi kwenye team kubwa utawapenda bure
Kama Sarri ataondoka basi itakuwa vigumu sana kumpata tena top manager kuja darajani. Sarri is a top coach na ndani ya msimu mmoja amebadili style of play. Kama angepewe msimu mwingine mmoja basi kandanda ambayo ingepigwa darajani funs wengi wangei-admire Chelsea. Na nakuhakikishia kocha atakaye kuja hata top four Chelsea haitaingia. Kuondoka Sarri ni sawa na kuwaruhusu Tottenham na Man U waingie top four for free. Mashabiki wengi wa Chelsea are still immature. They don't know where to stand. Kazi kufuata upepo tu
I doupt kama wewe unaongeaga kwa kutumia the relevant part of your brain, bahati itabaki kuwa bahati au kiingereza luck au gambling. huwezi kuamua kubahatisha
na ndio maana kule kwao wamegawanyika gawanyika kwa sababu ay umbea mwingi na much know nyingi sana
August 14 mjiandae kichapo kule Instabul ambapo tulibeba Champions League ya 2005Ukitaka kujua kuwa Europa League ni mojawapo ya ligi yenye kuheshimiwa Ulaya ona nafasi ambayo Chelsea itakaa next UCL season kwa sababu ya kuwa bingwa wa Europa
Kwenye uchaguzi wa kupanga timu kwenye group wanapanga kwa kufuata pot level
Ziko pots kama nne
Pot 1
Hii poti wanawekwa mabingwa wa ligi za Ulaya ambazo ni UEFA na EUROPA
Pia wanawekwa mabingwa wa ligi sita bora za Ulaya ambazo ni EPL, Laliga, Serie A, Bundesliga, Ligue 1 na Ligi ya Urusi
Timu zilizopo kwenye hii poti ni
Barcelona (La Liga),
Manchester City (Premier League),
Juventus (Serie A),
Bayern Munich (Bundesliga),
Paris Saint-Germain (Ligue 1),
Zenit Saint-Petersburg (Russian Premier),
Liverpool (Champions League)
Chelsea (Europa League).
Pot 2
Real Madrid, Atletico Madrid, FC Porto*, Tottenham Hotspur, Borussia Dortmund, Napoli, Shakhtar Donetsk, Ajax*
Pot3
Benfica, Dynamo Kiev*, Lyon, Bayer Leverkusen, FC Salzburg, Valencia, Inter Milan, Celtic*
Pot 4
FC Copenhagen*, Dinamo Zagreb*, Lokomotiv Moscow, Genk, Galatasaray, RB Leipzig, Atalanta, Lille
* lazima wapiti kwenye qualifying stage
NB: timu za poti ya kwanza hawawezi kupangwa kwenye group stage pamoja na hivyo hivyo timu za ligi moja hawawezi kupangwa kwenye group moja
Sarri anataka mwenyewe kuondoka sio club inataka kumfukuzaMkuu watizame tu hao vijana, ni watu wasiojielewa kabisa. Waache wajiandae na nafasi ya 6.
Ndio maana hazard alisema yeye pia hajui anaondoka au anabaki, yote itategemea Chelsea wataelewana vipi na real madrid.Uhamisho wa Hazard bado ni kizungumkuti baada ya mazungumzo kati ya Chelsea na Real Madrid kuvunjika bila makubaliano hapo juzi, jumatatu
Ukitaka kujua kuwa Europa League ni mojawapo ya ligi yenye kuheshimiwa Ulaya ona nafasi ambayo Chelsea itakaa next UCL season kwa sababu ya kuwa bingwa wa Europa
Kwenye uchaguzi wa kupanga timu kwenye group wanapanga kwa kufuata pot level
Ziko pots kama nne
Pot 1
Hii poti wanawekwa mabingwa wa ligi za Ulaya ambazo ni UEFA na EUROPA
Pia wanawekwa mabingwa wa ligi sita bora za Ulaya ambazo ni EPL, Laliga, Serie A, Bundesliga, Ligue 1 na Ligi ya Urusi
Timu zilizopo kwenye hii poti ni
Barcelona (La Liga),
Manchester City (Premier League),
Juventus (Serie A),
Bayern Munich (Bundesliga),
Paris Saint-Germain (Ligue 1),
Zenit Saint-Petersburg (Russian Premier),
Liverpool (Champions League)
Chelsea (Europa League).
Pot 2
Real Madrid, Atletico Madrid, FC Porto*, Tottenham Hotspur, Borussia Dortmund, Napoli, Shakhtar Donetsk, Ajax*
Pot3
Benfica, Dynamo Kiev*, Lyon, Bayer Leverkusen, FC Salzburg, Valencia, Inter Milan, Celtic*
Pot 4
FC Copenhagen*, Dinamo Zagreb*, Lokomotiv Moscow, Genk, Galatasaray, RB Leipzig, Atalanta, Lille
* lazima wapiti kwenye qualifying stage
NB: timu za poti ya kwanza hawawezi kupangwa kwenye group stage pamoja na hivyo hivyo timu za ligi moja hawawezi kupangwa kwenye group moja
Zenedine Zidane alishasema asipompata mwaka huu basi tenaNdio maana hazard alisema yeye pia hajui anaondoka au anabaki, yote itategemea Chelsea wataelewana vipi na real madrid.
Ana mkataba wa mwaka mmoja umebaki wanaweza kumwacha aondoke bure mwakani kama hawatafikia makubaliano.
Chelsea wao wanataka pauni million 130 bila kipunguzo cha aina yoyote