BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,124
Itakuwa bomba sana ili kuwakomesha hawa wizi wa rambi rambi za wafiwa. Unaambiwa hii ni pesa ya rambi rambi ya Mr & Mrs A halafu unataka kumgawiwa kila aliyefikwa na msiba na kuchota nyingine kwa gharama ambazo hazikukusudiwa na wachangiaji na pia kuficha majina ya wachangiaji wengine kwa kisingizio hawakutaka kutajwa. Ni nani huyo ambaye anachangia jambo la heri halafu aogope jina lale kuwekwa hadharani?
Bado ninaamini wana Arusha lazima watamfikisha kwa pilato