Chanzo bifu la Binti machozi na Ruge Mutahaba

Jide ana low self esteem, possibly as a result of her not having a child. Sasa hii imempelekea kuwa na poor self-image. She wrongly thinks that all people surrounding her view her through the mirror of her not having a child. Hii inamfanya anakuwa na overreacting even for things that are generally minor. This problem is basically psychological, and for such problems to be solved, they demand more self-awareness than the help of others. Yaani in short ni yeye mwenyewe anapaswa atambue tatizo lake.
 
Yah nakumbuka hata kwenye reality show take alionesha anaenda kwa psychologist lakini bado haikusaidia.
 
Mwanaume anapotumia muda wake kujua chanzo cha matatzo binafs ya watu ni upuuzi,tumia mda wako kujiulza chanzo cha umaskin wako ni nin hyo itakusaidia wew na kizaz chako.

Kwahiyo wewe ulipoingia "Celebrities forum" na kuuona huu uzi wa "chanzo cha bifu la jide na ruge" ulijua utakuta maelezo ya ukulima wa ufuta..?
 
naamka tena concert// tukutane tarehe 20. 05 .2016 pale mliman city.. usikose, mleta mada punguza umbeya
 
Jide ana low self esteem, possibly as a result of her not having a child. Sasa hii imempelekea kuwa na poor self-image. She wrongly thinks that all people surrounding her view her through the mirror of her not having a child. Hii inamfanya anakuwa na overreacting even for things that are generally minor. This problem is basically psychological, and for such problems to be solved, they demand more self-awareness than the help of others. Yaani in short ni yeye mwenyewe anapaswa atambue tatizo lake.

Locust power
 
!
!
Dah.......si kwa hiki kikristu aisee daaah
 
In personality psychology, locus of control refers to the extent to which individuals believe they can control events affecting them. Understanding of the concept was developed by Julian B. Rotter in 1954, and has since become an aspect of personality studies.
 
Walisema moyo wa mwanamke ni kichaka...yaani wanabeba mengi mioyoni mwao..

Ila in short ni kuwa Boss na Bidada waliwahi kuwa close....na ninaposema close simaaanishi ile close ya "funga" la hasha...ni ile ingine.....sasa hatujui walitibuana nini....nasikia Da Jide mpaka wa leo huwa akiwa home alone anaiona picha ya Boss alafu anajikuta anaimba "do you remember the time"

Mi najua mpaka hapo mwingine amalizie.
 
Hii kali kuliko.
 
Naam salama humu?

Iko hivi.Mimi ni mfuatiliaji wa entertainment hapa bongo. Ila hili swali nimekuwa nikilikosea jibu lake.Je chanzo nn? Pesa, mziki, umaarufu, au kuna mtu kala za chembe (mtaani tunaita KO).

Maana hivi karibuni binti machozi anafanya shoo, usije kushangaa Clouds nao wanaanzisha yao fasta ili kutia pilau la komando binti jongooo.

Chanzo cha mzozo haswa ni nini?
Wanaume dar bhana sometimes mnavionjo flan amazing,
Title Ni Kama umejua chanzo, glafla ndani umegeuka samaki asiyejua anayemgeuza!
 
Walisema moyo wa mwanamke ni kichaka...yaani wanabeba mengi mioyoni mwao..

Ila in short ni kuwa Boss na Bidada waliwahi kuwa close....na ninaposema close simaaanishi ile close ya "funga" la hasha...ni ile ingine.....sasa hatujui walitibuana nini....nasikia Da Jide mpaka wa leo huwa akiwa home alone anaiona picha ya Boss alafu anajikuta anaimba "do you remember the time"

Mi najua mpaka hapo mwingine amalizie.
Mi naanzia pale Msanii na Meneja wake walipoenda kwenye Tuzo kwa Madiba! Kutokana na jiji la Capetown hiyo cku kuwa na wageni wengi kupita kiasi; ikashindikana Meneja na Msanii wake kupata vyumba viwili na hivyo kulazimika "bila kupenda" Meneja ku-share room na Msanii wake!

Hitimisho la simulizi yangu ni kibao Rafiki kwahiyo mwingine anaweza kuongeza nyama!
 
Back
Top Bottom