Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,694
Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja?
Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati ukoje? Ni mazingira gani yanapelekea kampuni kuchelewa kuweka pesa kwa tarehe husika alioshinda mteja? Na nini kinapelekea usumbufu katika kuhamisha pesa kutoka kwenye account yake binafsi kwenye namba yake binafsi ya simu kwenye withdrawal process? Mfano Airtel money, Mpesa, halopesa, tigopesa.
Changamoto hasa ya Meridianbet Tanzania kwenye malipo ya wanaotaka kutoa pesa kwenye simu zao ambazo wanazitumia kuwekea saluo kwenye account ni zipi?
Karibu Kwa uzoefu wazee wa FC Zurich, Basel, Luzern, Plzen, Slavia , Sparta, D Zagreb, Hajduk, Zenit, , Al Duhail, Al Ain, Al Hilal Saudi
Tupeane madini
Tarehe 24-25-26 November moto utawaka mbaya.
Karibu tukiwashe