124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,512
Naona fursa hapo ya kujenga guest hotel standard /midle budget !kwa uzoefu hizo guest wanalipa kiasi gani?Dah mkuu kweli serikali iangalie usafiri huo,ni shida sana,Ukifika mafia hakuna gati unaingia kwenye maji unatembea mpaka nchi kavu. Umenikumbusha hiyo boat nilipanda tokea nyamisati pale. Nililala nyamisati tokea rangi tatu, ile guest house sitasahau halafu giza tupu umeme sijui hamna mji mzima sina hakika, ilibidi nisukumie kitanda mlangoni kwa usalama. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kupita hiyo njia kwenda mafia kwa ajili ya kutembea tu.
Na kama nitaamua kuwekeza kwa bot ya usafiri zenye better engine hata kama za mbao nazifanyia modification nauli kiasi gani?
Maana kwa maelezo yenu hayo maeneo yako shallow jwa boti kubwa sana ni mtihani inahitaji boti zenye keel fupi or keel less ingawa hii ya mwisho inakuwa danger kama kuna upepo