Changamoto za kupata mwenza JF

Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo!
 
Usiwe na shaka wakati wako ukifika utampata atakaye fanana nawe
 
Reactions: SDG
Yaan limekaa kama wanaotoa matangazo ni wa kwel 100% wakat sio kwel maana kuna mmoja alinisababishia Ban kisa utata wa jinsia yake.
Na ndio maana hata wanaojibu hayo matangazo wanajibu utumbo kwasababu wanajua waweka matangazo wanachezea watu akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…