KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo

Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu

Asilimia kubwa ya ada kwa kozi za degree ni milioni moja na laki tano ambapo mwanafunzi anatakiwa kulipa nusu ambayo ni laki saba na elfu hamsini ili kukamilisha usajili na kwa ambao wamepangiwa mkopo na heslb wanatakiwa kulipa nusu ya ada inayobakia baada ya kutoa kiwango ulichopangiwa na bodi ya mikopo jambo ambalo linatupa ugumu kukamilisha usajili kwasababu asilimia kubwa walipanga pesa ya boom ndo ije kucover kiasi kilichobaki cha ada baada ya usajili ila boom hilo haliwezi kupatikana bila kumaliza usajili wa mwanafunzi na ukiangalia hali za wazazi kupata laki saba na elfu hamsini ndani ya wiki mbili au tatu maan utaratibu huu haujaandikwa kwenye joining instruction na pia kupata ela ya hostel au kodi ya chumba kabla ya kupata boom ni ngumu kwa maana inahitajika zaidi ya milioni kwa mwanafunzi wa degree asiye na mkopo ili kukamilisha usajili

Tunaomba uongozi uliangalie hili suala kutusaidia sisi wanafunzi wa hali ya chini tunaotarajia boom lije kutimiza baadhi ya mahitaji

images.jpeg
 
Nchi imeuzwa mkuu kila kitu kipo hovyo kabisa kwa kifupi hatuna nchi.
 
View attachment 3135303
Upigaji
 
Chuo Cha NIT hivi majuzi wametangaza kubadili ulipaji wa ada mwanzo tulikuwa tunalipa mara nne kwa mwaka lakini sahivi wanatuambia tulipe ada mara mbili tu kwa mwaka ambapo ada nusu ilikuwa tulipe kabla ya test one ambapo ni tareh 2 mwezi wa 12 na sie wengi wetu tunatumia hela ya kujikimu kulipa ada sasa kama wengi wetu tumepata mkopo wa ada 230,000/= kwahyo ilitakiwa tutoe 635,000/= kabla ya test one kwenye hiyo tarehe ambapo hela hiyo ni zaidi ya hela ya kujikimu ambapo ni 600,000/= na hadi tarehe hiyo (ya mwezi huu) ya test one tunakuwa tumepewa hela ya kujikimu mara 1 tu hapo kwenye hela hiyo kuna Kodi, stationary na chakula kwahiyo wengi wetu hii system mpya inatuumiza na imepelekea wengi kuamua kuacha chuo please tunaomba mamlaka itusaidie kwa kero hii
 
Chuo Cha NIT hivi majuzi wametangaza kubadili ulipaji wa ada mwanzo tulikuwa tunalipa mara nne kwa mwaka lakini sahivi wanatuambia tulipe ada mara mbili tu kwa mwaka ambapo ada nusu tulipe kabla ya test one ambapo ni tareh 2 mwezi huu wa 12 na sie wengi wetu tunatumia hela ya kujikimu kulipa ada sasa kama wengi wetu tumepata mkopo wa ada 230,000/= kwahyo inatakiwa tutoe 635,000/= kabla ya test one ( ambapo imeanza kufanyka) kwenye hiyo tarehe ambapo hela hiyo ni zaidi ya hela ya kujikimu ambapo ni 600,000/= na hadi tarehe hiyo ya test one tulikuwa tumepewa hela ya kujikimu mara 1 tu hapo kwenye hela hiyo kuna Kodi, stationary na chakula kwahiyo wengi wetu hii system mpya inatuumiza na imepelekea wengi kuamua kuacha chuo please tunaomba mamlaka itusaidie kwa kero hii
 
Attachments

  • IMG-20241122-WA0009.jpg
    IMG-20241122-WA0009.jpg
    99.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom