Changamkia fursa; Kwa Magufuli vyeo vinaombwa/ vinaombeka. hii hapa ni mifano

Wafuatao ni mifano ya watu walioomba kupewa vyeo/ kazi na mheshimiwa magufuli kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii na wamefanikiwa. wewe unasubiri mini. cheki hawa.

Mrema amuomba Magufuli atimize ahadi ya kumpa kazi kama alivyomuahidi kipindi cha kampeni

hatimaye
Rais Magufuli afanya uteuzi Mbalimbali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti Parole

2. Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

hatimaye..................

ongeza wengine unaowafahamu waliofanikiwa kwa staili hii ya kuomba Misha wale tusio na ajira tuchangamkie fursa
Hatimaye Rutengwe akawa nani? Sijui, hebu nieleze.
 
Back
Top Bottom