Chama kimoja kikubwa cha upinzani chakwamisha mradi wa umwagiliaji wa Tshs 2.5b wilayani Geita

Kivipi yani?
Wanashawishiwa na upinzani kuwa,wakikubali mashamba yao yawekewe miundo mbinu ya umwagiliaji,serikali itawanyang'anya na kuwapatia wachina ili walime miwa,kitu ambacho si kweli.
 
Nunua mashamba yao weka mradi, unataka kuweka mradi kwenye shamba la watu, mbona barabara zikivamiwa mnavunja nyumba zao?
Huu Mradi ni wa kuwawezesha wananchi wenyewe.Ukiyanunua mashamba yao halafu Mradi ukikamilika utampatia mashamba nani.Walengwa wa Mradi ni wao.Wanufaika ni wao.Wanaboreshewa tu mashamba
 
Beki mkabaji wa lumumba naona anafanya mashambuliz kwa ujira wa buku 7
POLE SANA. UNATUMIKA KM CONDO.M
 
Back
Top Bottom