Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 19,880
- 21,876
ni kweli kabisaa,Habari wakuu
Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano
Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna nilivyomuona afya naona imetetereka
Tumtakie heri mheshimiwa Cheyo
Source habari ITV
muhimu zaidi ni kuheshimu maamuzi ya wanachama wa UDP, kumchagua nguli huyu wa siasa ambae hajazoea kua nje ya uenyekiti 🐒
kila la kheri UDP, Demokrasia imechukua mkondo wake