Kuelekea 2025 Chama cha UDP kimemchagua John Cheyo kuwa Mwenyekiti kwa awamu nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

3 Angels message

JF-Expert Member
Aug 3, 2017
5,233
15,112
Habari wakuu

Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano

Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna nilivyomuona afya naona imetetereka

Tumtakie heri mheshimiwa Cheyo

Source habari ITV
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatiachii madaraka mpaka tilee kisha tinye afu ndo tifee....
 
Kumbe bado kipo?!!
 
Hicho chama bado kipo?
Mzee Cheyo jua limeshazama sana, usiku umesonga, apumzike tu kulinda afya yake.
 
Yaani Cheyo hawezi hata kutembea jamani lakini ndiyo Mwenyekiti
 
Hiki chama kipo!!!
Ni kama mwenyekiti hujichagua mwenyewe
Sijui wajumbe wake ni nani
 
Mbona yeye hakejelewi kwa kukaa muda mrefu madarakani?
 
Wanapata tabu ya bure wangefanya mabadiliko ya katiba yao Cheyo awe mwenyekiti wa kudumu.
 
Unaweza kuta hata ruzuku kiduchu sana..mzee cheyo mwenyewe ukute ndio anakiendesha kwa fedha zake..kwahiyo ilimradi ni taasis iliyosajiliwa basi wanaishi kwa matumaini 2025 wanweza okota hata kiti kimoja..ukiwa huna chama na unahisi unakubarika na wanachi bila kujali chama..basi jichomeke hata kwa cheyo wananchi watakupitisha hilo jimbo utakaloona linafaa..tena unapita safi kabisa..na ukute ccm wakati huo wametegeshea wanaona bora bunge liwe na wapinzani ila kutoka vyama fulani sio fulani kwahiyo unajikuta uyoooo mjengoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…