Kwanu mkituoa mnatupa maisha yanakuwa marahisi??
Mkuu hawa wameleta tamko hewa tutawagegeda na harusi tunaoa wengneHahahaaa Papuchi kwanzaa mengine baadae. ..
Naona mleta mada kakurupuka, haelewi maana ya valentine, ye anafikiri ni kuhusu mambo ya mapenzi tu kumbe valentine ina mapana yakeNaomba kuuliza jamani hivi Valentine Ni siku wa Wapenzi/michumbio day Au nisiku ya Wapendanao wote including family members and friends? Nahisi sijaelewa hapo
Mi ningekua girlfriend ningetaka maua na dark chocolate tu...! Too bad siko kwenye chama ko ni mapema sana kutarajia utambulisho