Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 51,373
- 58,288
Achape Kazi Na Lile Bango Liwekwe KariakooNgoja tusubiri tuone.
Achape Kazi Na Lile Bango Liwekwe KariakooNgoja tusubiri tuone.
Sidhani kama Yanga wanamsajili ila wachambuzi na media zetu zinataka trends ndio zinavumisha habari za chama kwenda Yanga na inawezekana Chama mwenyewe yupo nyuma ya hizo kwani anajua ili avute mpunga mrefu msimbazi ni lazima aonekane anatakiwa uoande wa pili.Kila msimu Yanga wanamsajili.
Hata mi nashangaa akacheze wapi? Mtu ana 30's sasa wa nini? Pia viongozi hawawezi msajili huyo. Hayo mambo yanakuzwa na media zetu ili zipate follower wengi na zi trend ila hakuna kitu kama hiko.Viongozi wetu wameanza kusajili kwa mihemko. Chama wa nini atacheza nafasi ya nani? Yanga hawahitaji mchezaji goigoi.
Utakuwa usajili mzuri kwa Yanga ataongeza uzoefu na upana wa kikosi.Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga
kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa.
Licha Chama ameoneka mara kadhaa akihusishwa kujiunga na Yanga lakini dili linafeli ngoja tuone msimu huu itakuwaje.
View attachment 3023926
Kama ni kweli basi amesajiliwa kwa ajili ya kuwakera tu! Au kuna kiongozi mwenye mamlaka pale Yanga anamkubali sana.Tafuteni basi hate mchezaji mwingine msimu huu...sio kila mwaka Chama chama...chama mwenyewe sasa...
Ana uzoefu pia. Unajua wachezaji huwa kuna vitu vingi wanaleta ndani ya kikosi. Hata ule uzoefu tu unaweza leta matokeo tofauti kwenye msimu na vyumbani huko. Mfano Mkude, Japo hachezi mno ukichunguza kawasaidia Yanga hata kwenye mechi za kimataifa.Kama ni kweli basi amesajiliwa kwa ajili ya kuwakera tu! Au kuna kiongozi mwenye mamlaka pale Yanga anamkubali sana.
Aende tu, GSM na fedha nyingi sana za biashara.Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga
kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa.
Licha Chama ameoneka mara kadhaa akihusishwa kujiunga na Yanga lakini dili linafeli ngoja tuone msimu huu itakuwaje.
View attachment 3023926
Aziz Ki anacheza nafasi ya Nani? Pacome anacheza nafasi ya Nani? Max anacheza nafasi ya Nani? Mudathiri anacheza nafasi ya Nani??Viongozi wetu wameanza kusajili kwa mihemko. Chama wa nini atacheza nafasi ya nani? Yanga hawahitaji mchezaji goigoi.
Uko sahihi. Ingawa kasi yake kwa sasa imepungua, lakini bado kuna baadhi ya mechi alikuwa anacheza vizuri. All the best kwake. Mpira ni ajira. Kwangu mimi naona yeye ana unafuu zaidi kuliko Skudu na Okrah.Ana uzoefu pia. Unajua wachezaji huwa kuna vitu vingi wanaleta ndani ya kikosi. Hata ule uzoefu tu unaweza leta matokeo tofauti kwenye msimu na vyumbani huko. Mfano Mkude, Japo hachezi mno ukichunguza kawasaidia Yanga hata kwenye mechi za kimataifa.
Skudu ilikuwa dharura ile, sidhani kama alikuwa kwenye mipango ya uongozi.Uko sahihi. Ingawa kasi yake kwa sasa imepungua, lakini bado kuna baadhi ya mechi alikuwa anacheza vizuri. All the best kwake. Mpira ni ajira. Kwangu mimi naona yeye ana unafuu zaidi kuliko Skudu na Okrah.
Nadhani viongozi waliamua tu kujikosha baada ya kufanyiwa umafia kwa Fabrice Ngoma. Ila kiukweli alikuwa ni average player.Skudu ilikuwa dharura ile, sidhani kama alikuwa kwenye mipango ya uongozi.
Kwenye mechi nyingi ngumu kapoteana huyu. Msimu huu katamba tu dhidi ya wapinzani dhaifu. Umri ni tatizo, kabakiza akili tu ili kimwili hamna kitu. Kocha wa kiungo ana kazi ya kufanya na hata yeye ana kazi ya kufanya kutokuwa mvivu.Uko sahihi. Ingawa kasi yake kwa sasa imepungua, lakini bado kuna baadhi ya mechi alikuwa anacheza vizuri. All the best kwake. Mpira ni ajira. Kwangu mimi naona yeye ana unafuu zaidi kuliko Skudu na Okrah.
kelele zimekuwa nyingi, miaka sita yote Yanga ni wimbo mmojatu. chama chama chama. Hebu aende basi wimbo uisheKila mara chama chama