Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 463
- 1,132
Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga.
kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa.
Licha Chama ameoneka mara kadhaa akihusishwa kujiunga na Yanga lakini dili linafeli ngoja tuone msimu huu itakuwaje.