Chalamila: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua

Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado wanapumua mpaka sasa, kwa sababu hawakuangalia mabadiliko ya tabia nchi, wameleta hasara magari yale, maji yameingia kwenye yale magari lakini ukweli usiopingika ni kwamba magari ndio yaliyofuata maji, kwa hiyo ninapozungumzia watu waliofuata maji ni pamoja na vituo vya mwendokasi baadhi hufuata maji sasa kama kuna hasara wale watapaswa wapelekwe Mahakamani kwa sababu wamesababisha magari kuharibika pasipo sababu" -Chalamila

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amezungumza hayo Februari 19.2024 akiwa kwenye ziara ya kikazi wilaya ya Temeke

Pia soma
Waziri wa Ujenzi alikuwa Magufuli wakati wa ujenzi wa hicho kituo
 
Ni kweli magari yalifuata maji, wao walichofanya waliangalia tu eneo la wazi kwa ajili ya shughuli zao, hawakujiuliza kama hilo eneo ni salama kwa ajili ya maegesho ya magari hasa kutokana na nature ya eneo husika.

Ila pale alivyosema atashangaa kama bado wanapumua mpaka sasa....

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa sisi wa zamani tulishawahi kuwaona KAJIMA pale lakini hawakuwahi kukumbwa na mafuriko
 
Maneno hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza Februari 19.2024 akiwa kwenye ziara ya kikazi wilaya ya Temeke..

"Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado wanapumua mpaka sasa, kwa sababu hawakuangalia mabadiliko ya tabia nchi, wameleta hasara magari yale, maji yameingia kwenye yale magari lakini ukweli usiopingika ni kwamba magari ndio yaliyofuata maji, kwa hiyo ninapozungumzia watu waliofuata maji ni pamoja na vituo vya mwendokasi baadhi hufuata maji sasa kama kuna hasara wale watapaswa wapelekwe Mahakamani kwa sababu wamesababisha magari kuharibika pasipo sababu" -Chalamila

Screenshot_20240220_151048_X.jpg
 
Sasa Jiwe ndiye waziri wa ujenzi wakati ule , kwahiyo huyo ni mmojawapo?
Mradi ulikuwa wa familia ya msoga gang huo ...usimsingizie jiwe ....kama siyo jiwe mwendokasi ilikuwa mali binafsi ya msoga gang wakishirikiana na raia feki
 
Kwamba Msoga gang ndio walikuwa wizara ya Ujenzi ?
 
Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado wanapumua mpaka sasa, kwa sababu hawakuangalia mabadiliko ya tabia nchi, wameleta hasara magari yale, maji yameingia kwenye yale magari lakini ukweli usiopingika ni kwamba magari ndio yaliyofuata maji, kwa hiyo ninapozungumzia watu waliofuata maji ni pamoja na vituo vya mwendokasi baadhi hufuata maji sasa kama kuna hasara wale watapaswa wapelekwe Mahakamani kwa sababu wamesababisha magari kuharibika pasipo sababu" -Chalamila

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amezungumza hayo Februari 19.2024 akiwa kwenye ziara ya kikazi wilaya ya Temeke

Pia soma

Tanzania ina watu bwana. Bila aibu mtu anawekeza hela za walipa kodi sehemu ambayo inajaa maji na hakuna anachofanywa!!
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani hawana akili

Source Jambo TV

My take; Yawezekana ilijengwa Wakati Jiji la DSM linaongozwa na Chadema 🐼
 
Back
Top Bottom