The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 1,140
- 1,944
Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko unaenda kuvuruga wananchi kwenye shughuli zao? arudi tena aone km hajavunjwa viuno vyote.KASIMU MAJALIWA ANAFANYA MIKUTANO HAPO KILA SIKU
CCM chama tawala babuuWakifanya cm sawa ila cdm ni sehemu ya bishara?
Hawa vegetables hapa walikua wanafanyia wapi?ukishafanya kazi yaiteuzi tu tayari lazima unakua na walakini by defaultSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Kibwengu wewe nyau mmoja weweCCM chama tawala babuu
Wamwachie tu huyo jamaa labda hakujuaSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Kibwengu mjaa laana sasa mboni Chama Cha Maboga wanafanya mikutano hapo?Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko arudi tena hajavunjwa viuno vyote.
well done RC,Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Dada leo una mitusi sanaKibwengu wewe nyau mmoja wewe
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Wangemwachia tu jioni ya leowell done RC,
we jitu ropokaji litoke tarime huko lije kufanya fujo eneo la biashara dar es salaam,
that's completely nonsense π
Lini?CCM hawakufanyia hapo?
Uh, kauli hii ina maneno makali sana...jitu ropokaji!well done RC,