Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,621
- 103,462
- Thread starter
- #41
Marekani hakuna mikutano ya chini ya miembe, mambo yote yanafanyikia ndani ya majengo, naona roho inakuuma lakini ndio utafanyaje tena maji yameshamwagika, Halafu ungejuwa jinsi huyo Dada Linda alivyotoka jimbo la mbali anakoishi na kwenda MD Kwa ajili tu ya kujiunga na Chadema nadhani ungejinyonga kabisa.Hizo picha wamepiga wapo kwenye sebule halafu imekuwa gumzo Marekani? Mie naipenda ile picha huyu Mwanamke anacheza kiduku mbona umeitoa.