Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
- Thread starter
- #21
Hakuna MAIGIZOHAPANaomba hiyo damu nisiongezwe nayo please naomba nimeshasema naogopa kupata cougulopathy coz nina allergy na chadema , please naogopa kupata haemolysis nisije nikafa naomba wapewe tu chadema ,noooo jamani sipo serious natania hiyo damu itasaidia maisha ya watu ,ongera kwa chadema sasa naona haja ya ccm kufanya kama chadema , asante sana tena na tena cdm mmeonyesha hata kwa siku moja utashi wa akiri