Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Utaonaje na wewe ulikua kwenye viroba maana ndio zako umeacha ulevi kwaniSijaona huo mchango wa damu wa Chdema wametoa yuniti ngapi?
Nyinyi Chadema nanyi MNA vituko! Mnachangia wananchi damu wakati "sisi" hapa Lumumba tunapanga ni jinsi gani ya kuwanyonya damu watu hao hao!Utaonaje na wewe ulikua kwenye viroba maana ndio zako umeacha ulevi kwani
Sijaona huo mchango wa damu wa Chdema wametoa yuniti ngapi?
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili bado inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu kuweza kusaidia wahitaji wanaofika katika Hospitali hiyo ya rufaa,ambapo imesema,wakati mahitaji halisi kwa siku yakiwa ni yuniti 80 mpka 100,ni yuniti 20 mpaka 40 pekee zinapatikana kutokana na njia ikiwamo ya ndugu wa muhusika,kutakiwa kumtolea damu mgonjwa wao.
Upungufu huo umebainishwa na Afisa Uhusiano wa Hospitali hiyo,NEEMA MWANGOMO,wakati wa zoezi la kujitolea damu katika hospitali hiyo lililoendeshwa na Chama Cha Demorasia na Maendeleo,Dar Es Salaam kuu, ikiwa ni kuuunga mkono makundi mbali mbali ya wahitaji wakiwemo akina mama,watoto na wanaogua saratani.
Afisa Uhusiano huyo aidha ametoa wito kwa wananchi mmoja mmoja,makundi ama taasisi,kujitokeza kujitokeza kujitolea damu kuweza kusaidia makundi hayo, hususani kipindi inapoendesha zoezi la upasuaji moyo watoto kwa ushirikiano na wataalamu kutoka Saudi Arabia.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chadema Dar Es Salaam kuu,HENRY KILEO,ametoa wito kwa vyama vingine vya siasa kuwa na utaratibu wa kuhamasishana kujitolea damu kuokoa maisha ya wananchi,kama vile wanavyohamasishana wakati wa kampeni.
Damu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
Damu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
Kumbe ile mitambo ya nyonya damu mnayoNyinyi Chadema nanyi MNA vituko! Mnachangia wananchi damu wakati "sisi" hapa Lumumba tunapanga ni jinsi gani ya kuwanyonya damu watu hao hao!
Huenda wanaiga kutoka CCMDamu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
Damu hutaki kuwekewa lakini ile michezo mnaochezaga hapo nchi jirani ni sawaDamu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
unamaanisha damu inayotolewa haipimwi kabla ya kuwelewa mgonjwa? Ficha ujinga...kijijengea heshima.
Kwani Chadema ndiyo watunza damu wanajua watu wote waliotoa damu hapo MNH mpaka watangaze?Mkuu, wewe ndo mtunza damu iliyotolewa nini hapo MNH?
Unauliza majibu? For more than 50 years tumekuwa tunawanyonya damu watu wetu bila ya wao kujuaKumbe ile mitambo ya nyonya damu mnayo
MKUU NADIKIA WATUNZA DAMU HAPO NI LIZABON NA RITZ AKA KIROBA MOKOUnauliza majibu? For more than 50 years tumekuwa tunawanyonya damu watu wetu bila ya wao kujua