Mimi sio Mtu wa kifuata mkumbo.Mwamba hutaki tabu
Au sio tuko pamoja. Mm sipo popote sitaki siasa tu kwenye life langu. Ila wanaofanya wafanyeMimi sio Mtu wa kifuata mkumbo.
Ni kweli haya mauaji na utekaji yanaleta hasira lakini pia samiamustgo hikuwa smart move.Sio kweli, serekali imeamua kujifichia humo maana tayari vyombo vya dola vimeshawaua wale vijana akina Soka na wenzake. Sasa hapo wanalazimisha ionekane hizo nguvu ni kwa ajili ya kauli ile, ila lengo ni kuficha uhusika wa serekali kwenye utekaji na mauaji ya wapinzani.
Eti kurudisha watu!! Hovyo kabisa nyie!! Huko fulana zenu mmeandika must go, wajinga nyie, mnatetea ugali wa Mbowe, Lissu, Lema na Mnyika!! Pumbav zenu!!Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya kuyazuia.
Hii ni kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.
Mrema amedai kwamba, Maandalizi ya Maandamano hayo yanaendelea kama yalivyopangwa yakiwa na lengo la kupaza sauti Dunia nzima ili wote waliotekwa warejeshwe au kama wameuawa kama Ally Kibao basi mifupa yao ikabidhiwe kwa ndugu zao waizike kwa Heshima.
PIA SOMA
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Tunajua kila kitu, Wakiua hawa na wao watakufa kabla ya Wiki 1 na wanajua hivyo, Sasa acha waue ili nao wafe, Tanzania mpya inakujaErythrocyte , how do we mitigate the death toll that is in the vicinity? Nina uhakika yale majitu yataua, yataua sana. Ansbert Ngrumo jana nimesoma clip yake inasema wanaotafutwa sasa ni Lema, Lisu Mbowe na Mnyika waondolewe. Watawaskamata na kuwaua/kuwapoteza/kuwaweka ndani na ukatili mwingine kama huo How do we mitigate that?
Hii serikali ya huyu mama inaua kila anayewapinga, Waliokataa huyu mama kuwa Rais Walifahamu kuliko sisiSio kweli, serekali imeamua kujifichia humo maana tayari vyombo vya dola vimeshawaua wale vijana akina Soka na wenzake. Sasa hapo wanalazimisha ionekane hizo nguvu ni kwa ajili ya kauli ile, ila lengo ni kuficha uhusika wa serekali kwenye utekaji na mauaji ya wapinzani.
Kumuua Soka wewe umefaidika na nini?Eti kurudisha watu!! Hovyo kabisa nyie!! Huko fulana zenu mmeandika must go, wajinga nyie, mnatetea ugali wa Mbowe, Lissu, Lema na Mnyika!! Pumbav zenu!!
Maandamano Gani ya Amani ya kusema Rais wa Nchi aondoke?
Soka ndio paka gani?Kumuua Soka wewe umefaidika na nini?
viva ushuziViva CHADEMA
Tukutane trh 23
Subra yavuta kheri, ikifika saa tatu uje tena usome nini ulikuwa umeeandikaviva ushuzi
ILI AINGIE NANI.MBOWE?..lazima Samia aondoke ktk uchaguzi wa 2025.
Wezi tu hao, wanapenda sana kupata uhalali wa kuja na hoja zenye masikitiko na huruma, kukubalika kwao kunatokana na udhaifu wa kiuongozi unaojitokeza mara kwa mara.Yes,nakubali.
Ushahidi wa hilo wewe kumbuka tuh walivyomdhalilisha Lowasa marehem pale mwembe yanga kwa kumweka kwenye list of shame.
Kisha out of nowhere wanarudi na kumpa kijiti cha kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chao.
ILI AINGIE NANI.MBOWE?
Wezi tu hao, wanapenda sana kupata uhalali wa kuja na hoja zenye masikitiko na huruma, kukubalika kwao kunatokana na udhaifu wa kiuongozi unaojitokeza mara kwa mara.
Kwenye maandamano hawampati mtu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya kuyazuia.
Hii ni kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.
Mrema amedai kwamba, Maandalizi ya Maandamano hayo yanaendelea kama yalivyopangwa yakiwa na lengo la kupaza sauti Dunia nzima ili wote waliotekwa warejeshwe au kama wameuawa kama Ally Kibao basi mifupa yao ikabidhiwe kwa ndugu zao waizike kwa Heshima.
PIA SOMA
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
CCM wanachokifanya kwa mapana yake kinaonekana. Huko CHADEMA kuna wezi pia tatizo ni kwamba bado hawajapewa madaraka ya kuongoza nchi...hivi unaamini kwa dhati kabisa Ccm sio wezi?
..kati ya wapinzani, na Ccm, upande upi umewaibia zaidi Watanzania?