Si unajua UKAWA ni akili kubwa au unajifanya hujui hilo na kupotezea???????????Hahahahahaaaa! Kwani hata wasipohudhuria wanapunguza nini?
Lizaboni, try to look at the bigger picture. Usiangalie tendo la kususa tu, jaribu kuangalia ni KWA NINI wameamua kususa. Bahati nzuri wameeleza vizuri.Hahahahahaaaa! Kwani hata wasipohudhuria wanapunguza nini?
Inabidi utumie ubongo kufikiri sio unatumia nywele kufikiri.
Wewe unafahamu meya anapatikana vipi au unadhani kila kitu ni kuteua kama DCs???
Hahahaha umenkumbusha enzi zile nkiwa Mara secSafiiiiiiiiii kabisa vita ni vita muraaa
Hivi unaelewa hoja zao au unaongea tu.Haijalishi anapatika a vipi lkn Serikali ina uwezo Kikatiba wa kufuta Umeya muda wowote ule na ilishafanyika hapa Dar wakati wa Keenja, hivyo ni ujinga kutaka kuisusia Serikali ambayo unaihitaji ili uweze kufanikisha majukumu ambayo wananchi wamekutuma!
Achana nayo hao ni kikundi cha watu wenye fikra finyu ambao buku7 tuu zinawafanya akili waweke mfukoni.Meya wa jiji kuu la nchi unawezeje kumuona mtu mdogo wakati shughuli anazosimamia zinazidi ukubwa wa wizara nyingi?Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe? Meya ni mtu mdogo sana? Mbona mlikusanya mafungu ya polisi na kualika wabunge Zanzibar na figisu lukuki ili kuupata umeya wa jiji?
Vipi unaendeleaje? Fahamu zimesha kurejea? Tatizo ni nini? Upungufu wa damu? Kula pitiku kwa wingi uongeze damu kiwango cha damu mwilini, acha kuendekeza makaba yatakuua.Uwezo wao wa kufikiri ndio umefikia hapo
Huna adabu wewe! Meya aalikwe kwa SMS?Kila mkazi wa Dar es salaam alialikwa kupitia matangazo ya radio,Tv na kutumiwa ujumbe (sms) kwenye simu yake ya mkononi.Kusema hakualikwa ni uwongo tu na porojo.
Elimu Elimu Elimu...Kwa hiyo hao wengine wanaoenda nnje wanaenda kwa madhumuni gani hasa. Kwa nn mbunge wa Chadema akatazwe kwenda nnje wakati wa ccm wameruhusiwa. Kwa nini Raisi hakutambua uwepo wa meya akiwa anazindua mradi kule kinyerezi na daraja la kigamboni. Ukiunganisha hizi dots utaona kuna njama mbaya za kuwaonea wapinzani bila sababu za msingi.Kuna mambo mawili :
1. Kuna uzi umu unaeleza Meya wa Kinondoni kulalamika kutoalikwa, hapa Kuna maelezo ni kama Meya huyu alikataa mwaliko ili kukwepa 'kudhalilishwa'. ukweli ni upi?
2. meya alizuiwa uwanja wandege akienda ugaibuni kwa ajili ya mipango ya kuboresha jiji. Hivi hiyo mipango ambayo imeshidwa kujadiliwa ndani ya mabaraza ya madiwani inaenda kujadiliwa ugaibuni ni mipango gani? Hivi vyama mbadala /upinzani hamtaki kabisa dhana ya kujitegemea! ? Kwa nini mnataka tuendelee kuwa omba omba! Nitaendelea kuwalaumu katika hila kama hamtatoa maelezo ya kutosha meya alikuwa anaenda ughaibuni na mipango ipi na kwa madhumuni gani haswa! !!
Hahahahahaaaa! Kwani hata wasipohudhuria wanapunguza nini?
Unafikiri Mstahiki Meya anaalikwa kwa sms kama wewe unavyoalikwa kwenye birthday.Kila mkazi wa Dar es salaam alialikwa kupitia matangazo ya radio,Tv na kutumiwa ujumbe (sms) kwenye simu yake ya mkononi.Kusema hakualikwa ni uwongo tu na porojo.
Toka Muhongo aandike SMS Kule bandarini ili meter za mafuta zifunguliwe kumzuga Majaliwa mumeshaona ndio njia ya mawasiliano ya ofisi inayofaa?Tena hiyo ndio njia sahihi inayomfaa.Inabana matumizi.Aulizwe meseji alipata au hakupata?
Unafikiri Mstahiki Meya anaalikwa kwa sms kama wewe unavyoalikwa kwenye birthday.