CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

Itakuwa aibu zaidi kujisaidia nje!
Halafu kujenga nchi yote hii si suala dogo......ukitaka kuthobotisha Hilo angalia chadema walivyishondwa kujenga ofisi Tu mpaka sasa!
kamuulize Kinana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi ccm wamejenga ofisi gani.
Ofisi zote za ccm ni majengo ya umma yalijengwa na umma kwa kuchangishwa mtaa kwa mtaa enzi za nyerere.

CCM ni wapangaji wasiolipa kodi. Wakati wao kulipa kodi utafika tu hata kama sisi hatutakuwepo duniani.
 
Mkuu wangu hivi ccm yako unaionaje? Unajua CDM ina afadhali kuliko CCM?
CDM pamoja na vioja, vituko, ukatili, uonevu na unyanyaswaji unaofanywa na ccm kupitia mapolisi bado imekuwa imara sana sana kama Taasisi.
 
Back
Top Bottom