Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
- Thread starter
- #61
Kama wapinzani wenyewe wanashindwa kijitetea wafanye mikutano unategemea watapata nguvu za kukutete wewe!?popote duniani upinzani huwa ni kuforce hakuna lelemama, ukiwa mpinzani,unashout mpka dunia inasikia uone kama jpm hataruhusu hyo mikutano,wao wapo wapo tu wanasubilia kulialia kwenye TV. eti juzi lowasa anasema kwa kuwa wamezuia mikutano ya majukwaani basi sisi rutajikita kufanya ya ndani ambayo ndo mizuri,"watu wachadema nao wakashangilia,lowasa anapenda kufanya mikutano akiwa amekaa,sasa za majukwaani hawezi tena..Magufuli kachokwa mapema sana anafunga wapinzani awache free uone kilichomtoa kanga manyoya unatishika na uchaguz kupitia jeki za makada alowateua wakurugenz wakuu wa mikoa na wilaya gumbo arusha kawa mbunge toka alipoteuliwa na magufuli bado nguvu ya polis na mahakama hiv saiv zitto wanted kafanya jana mkutano unaitwa wa kichochez ccm wanashindwaje kushinda? hata mimi wasiposhinda ntawaona wajinga bondia mmoja kafungwa kamba mikono mwingine anarusha ngumi tu hiv huwa mnatathimini kweli?
Upinzani nikuforce kutenda na kusikika..