Chadema wafanye strategic move kuhamishia makao makuu ya chama mwanza

Mami Ama,

Mie siyo Dikteta kabisa. Maoni yanaruhusiwa jamani na nikiweka maoni basi lazima niyatetee.

Inawezekana kuwa nawamba ngoma kwa aina fulani ili mkoa wa Tabora uwe na sifa fulani zaidi ya Mkoa masikini ila upande mwingine, kuna ka ukweli fulani. Tusiwe waoga wa suggestion maana Chadema uzuri wake ni kuwa mwisho wa siku, watu wanapiga kura na WENGI WAPE na inabidi kuheshimu maamuzi yao hata kama huafiki.

Ikionekana wengi wanataka Mwanza, mie sina maneno. Ntapanda Mabasi na jioni tayari nipo Rock City.

Juu ya SLAA FOR PRESIDENT nilifaulu ila sema NEC wakanichakachua Siggestion zangu......

Ngoja nianze kukampeni HQ Chadema iwe Tabora.
Nkhoi Sikonge you are complicated, you have complicated suggestions; rejea Slaa for presidency.

Inabidi sometime kuwa makini na maoni, mapendekezo, tusijali wishes zetu tu. Hii kwa kuzingatia kuwa viongozi wa CHADEMA wanatumia JF kama kitovu cha fikra, maujuzi na maushauri.
 
Back
Top Bottom