mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,544
Kama kubeneaSikulaumu wewe bali nawalaumu wazazi wako walio kunyima elimu
Kama kubeneaSikulaumu wewe bali nawalaumu wazazi wako walio kunyima elimu
Kama omwami wachu zzkKama kubenea
Kwani matonya bado yupo?hawawezi pewa heri tuwape dodoma
Wakurya rudisheni gari mliloiba kwanza.. Majambazi wakubwa nyieKwa Ubinafsi na Ukabila mlio nao bado kuna safari Ndefu.
Jiji linalofuata ni Dodoma,Wabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa Kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.
Kwa muda mrefu manispaa ya Moshi imekuwa nyuma kimaendeleo licha ya wakazi wa mkoa huo ni wafanyabiashara wakubwa.
Tunataka mlete heshima ya mkoa huo, tunataka mboreshe biashara, utalii, miundombinu, shule na hospitali za mkoa huo.
Tunajua kwa sasa asilimia 70 ya wabunge na madiwani ni CHADEMA, hivyo hatutaki visingizio vya kitoto, hatutaki kusikia ufisadi katika mkoa huo.
Tunaomba mlete heshima kubwa katika mkoa huo.
Moshi iwe jiji
Wabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa Kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.
Kwa muda mrefu manispaa ya Moshi imekuwa nyuma kimaendeleo licha ya wakazi wa mkoa huo ni wafanyabiashara wakubwa.
Tunataka mlete heshima ya mkoa huo, tunataka mboreshe biashara, utalii, miundombinu, shule na hospitali za mkoa huo.
Tunajua kwa sasa asilimia 70 ya wabunge na madiwani ni CHADEMA, hivyo hatutaki visingizio vya kitoto, hatutaki kusikia ufisadi katika mkoa huo.
Tunaomba mlete heshima kubwa katika mkoa huo.
Viongozi msisahau pia Moshi ilichelewa sana kuwa manispaa.Sababu kubwa ni hcho kigezo cha idadi ya watu.Moshi watu wengi huja kazini asbuhi na kurudi majumbani Hai,Moshi vijijini na Hata Arusha na Rombo.Sensa zetu hufanyika J2 hhivyo wafanyakazi wengi wanakuwa majumbani ndiyo maana Moshi huonekana na wakazi wachache.Kumbe Ibilisi naye hunena yale yampendezayo muumba!!!
Nimesema haya si kwasababu mimi ni mkazi wa bukoba, bali ni uwepo wa wabunge na madiwani mwengi wa upinzani ktk manispaa hiyoWewe kwenu si bukoba.?
Hasa jiji la tanga, yani kumepoozaaKwa Tanzania mi naona kuitwa jiji is just a name, nothing special. Kuna manispaa zimeitwa jiji hazina miundombinu ya kueleweka mfano hakuna double road hata moja.
Bajeti ambayo hutengwa na serikali kila mkoa huzingatianpia hadhi ya eneo, kama ni jiji au manispaa, pia mikopo ya benki ya dunia au misaada mara nyingi huelekezwa kwenye majijihivi faida ya kuwa jiji ni ipi, au jina tu kwamba moshi ni jiji..
kwa mfano tokea Tanga na Mbeya zimekuwa majiji wao wamepata faida gani ambayo wasingeipata kama wasingekua jiji..
Labda wasombe watu kutoka miji mingine na 'kuwahamishia' Moshi ili kukidhi vigezo, au washawishi wanaume wote waoe wake wanne kila mmoja na ndani ya miaka mitan kila 'couple' iwe imepata watoto watatu, hapo naamini idadi itafikiwa...Mkuu hapo kuna kigezo kimoja nadhani kipo nje ya uwezo wao kama binadamu wa kawaida cha kuufanya mji wa moshi uwe na idadi ya watu wanaohitajika ili uwe na sifa ya kuwa jiji
Nyumbu gegedu weee. Majambazi si mmejaa huko MOSHI mpaka mmeanzisha saccoss.Wakurya rudisheni gari mliloiba kwanza.. Majambazi wakubwa nyie