Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,604
- 6,483
mtu mmoja akasema hivi....!Mojawapo ya sababu zilizomwezesha George Bush kurud tena madakani mwaka 2004 ni ile tabia ya John Kerry kukaa kimya kukiwa na allegetions juu yake. Pamoja na kuboronga kote kwa Bush lakini wamerekani wakaona bora waendelee na Bush kuliko yule ambaye ameshindwa kuwathibitisha uongozi bora zaidi.
CHADEMA wana attitude kama ya John Kerry. Hawako tayari kujibu maswali. Wanadhani kuelezea sera zao inatosha kumbe wakati mwingine watu kabla hata ya kusikiliza sera zako wanataka kukifahamu chama chenyewe kilivyo.Tukiuliza tunakutana na visingizio tu, mara swali halijaeleweka, mara muuliza swali ni fisadi etc. Mwenendo huu hauashirii vizuri hasahasa kwa chama ambacho bado kina jukumu kubwa la kutafuta kuaminiwa na wananchi.
tuliwapigia ngoma ...hamkucheza....!
tuliwaita .................hamkuitika......!
THEY SHOULD COME OUT AND SPEAK OUT.....!
BETWEEN TWO EVILS.....CHOOSE THE LESSER....!
BUT CHADEMA (a docile NGO) IS KWAYATI...!