Narrow minded, kama kuna kosa kubwa ambalo Ccm inalifanya ni ukandamizaji wa wazi wanaofanyiwa wapinzani.Igwe wanaJF
Nimeona siku ya leo kabla sijaenda kupumzika niwatobolee siri CHADEMA kuwa wanasiasa wengi mdani ya CCM miaka 10 hadi 20 iliyopita walijijenga kwa upotofu wa kutetea wavunja sheria na upuuzi.Nitawapa mifano;
Mwishoni mwa miaka ya 90 Mbunge wa ilala Iddi Simba alishawishi na kukataa wakazi wa bonde la msimbazi wasihamishiwe Segerea kwa kigezo kuwa ni porini ajenda iliyojificha "hawa ni wapiga wangu hivyo wangehama kura zake zingepungua" baadae akaachia ngazi baada ya kuchokwa.
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuwa wanaosomea ualimu elimu yao duni mara nyingi wabunge wamelalamikia kuhusu kushuka kiwango cha elimu sasa serikali inaporejebisha suala hilo ninyi mnaona ndio fursa ya kutengeneza "wapiga kura" haya ngoja tusubiri.
Mara nyingi mnaongelea "mfumo" bila mnamamnamaanisha.Mfumo mzurimzurinaununaundwaatu wanaosimamia kanunkanuniio nadhanadhariai zisizotekelezwa,mfumo mzuri hurekebisha kasoro mara moja inapogundulika.
Chadema mlidhihaki mfumo wa JK kwa propaganda kumbe mioyoni mlinufaika kwa kushiriki uhalifu kuliangamiza taifa.
Kila siku mnasema watanzania wameelimika,sasa unafikiri hao walioelimika unafikiri viongozi wa Chadema mnaweza kuongea hizo propaganda wakawaelewa?.Lazima taifa lijisahihishe na kila mmoja wetu asimamie kanuni tujadili masuala na sio watu.Hivi siku ya kujadili bajeti ya serikali,Lugumi..nk mtasusa kisa Naibu Spika Dr.Tulia anaongoza kikao?
Haya ngoja tusubiri manake ripoti ya Twaweza ilisema upinzani unaungwa mkono na wasomi,na hulka ya wasomi ni kupima hoja.Muda ndio jibu zuri.
Nawakilisha.
Kijana CCM tuliwaambia hii mitandao mnayounda kutengeneza wapiga kura wakabisha.Sasa kazeni shingo.Narrow minded, kama kuna kosa kubwa ambalo Ccm inalifanya ni ukandamizaji wa wazi wanaofanyiwa wapinzani.
Mfano ulio toa ni wa kitoto sana na usio endana na mazingira ya wakati huu. Wakati wa chama kimoja Mwl Nyerere hakutaka watu wasome ili wasimkosoe. Pia hqpakuwa na uwazi uliopo leo. Kufananisha siasa za leo na za kipindi kile ume loba step. Kwa hal ilivyo sasa Ccm inawajenga wapinzani kuliko wanavyo jijenga wao
Mkuu tukiwaacha huku wanakula kodi zetu bure ni hasara.Bwana wewe mtoa mada naomba nikushambulie kidogo, ila samahani "unaharibu mkuu,,,,ongeapopole pole unanistuliastulia ndege wangu""
Hata yeye anakiri, "Kama huko nyuma tulikosea ni lazima kurekebisha mara moja" by JPJMUpinzani kutetea haki za hao raia haimaanishi wamepoteza dira. Ni ukweli usiopingika serikali hii inakurupuka sana matokeo yake wanajaribu kurectify tatizo kumbe wana create matatizo zaidi.
Kwa sasa kunatakribani vibaka to be 7000 serikali imesaidia kuwazalisha.
Inasikitisha sana lakini kamwe hatukubali tumestuka.Sio tu kwamba vihiyo wanakula kodi zetu...
Tuandae vihiyo watakaokuja kuua elimu ya vizazi vyetu
Tunalipia kutengeneza maafa
Mkuu tukiwaacha huku wanakula kodi zetu bure ni hasara.
Limagufuli bana haliogopi kitu linapiga kwakwenda mbele safi sana ngosha ila chadema wametuangusha kabisa.CHADEMA CHADEMA PEOPLES POWER... NYAMBAFU badala kukosoa kuwa Serikali inatumia hela nyingi kusomesha vilaza wao wanatetea?!!!! Bora limagufuli tu. Linamkosoa hata Jk
Sasa wewe katika wachangiaji wote leo umenichekesha hasa kwamba kila mlango mkiingia kumbe ndiyo wakutokea......kazi kweliSasa unadadavua mno mkuu.ujue meno yalianza kufa ganzi baada ya Ccm kumteua Magufuli awe mgombea urais mwaka jana.Tangia hapo imekuwa kila mlango tunaoingilia kumbe ndio mlango wa kutokea,,assalaleee!!
Sasa wewe katika wachangiaji wote leo umenichekesha hasa kwamba kila mlango mkiingia kumbe ndiyo wakutokea......kazi kweli
Richmond ni ya Kikwete, hao waliowachagua mwanzo wakakubali kuwachukua waingie chuo ndiyo vilaza? Hapo wa kulaumiwa ni nani? Chadema lazima wawatetee binadamu wenzao ambao wameteseka kwa uzembe wa Serikali yenyewe.Chadema mlijichanganya kwenye suala la kubadili gia angani hadi leo mnakosa uhalali wa kujadili ama kuukemea ufisadi. Sasa niwatahadharishe mapemaaaaa! Suala la hawa vilaza a.k.a vihiyo wa udom achaneni nalo litawapotezea mwelekeo kabisaaa!!!
Mnatetetea vilaza waendelee kula kodi zetu!!!!??
Kwa Hiyo wange endelea ili kutoa waalimuVihiyo ambao wange fundi sha wanafunzi Kama laki tatu na zaidi ambao nao watakuwa wezi au wasio na tija inayotarajiwa Ndio mafanikio !?Upinzani kutetea haki za hao raia haimaanishi wamepoteza dira. Ni ukweli usiopingika serikali hii inakurupuka sana matokeo yake wanajaribu kurectify tatizo kumbe wana create matatizo zaidi.
Kwa sasa kunatakribani vibaka to be 7000 serikali imesaidia kuwazalisha.
Wanasubir loosboli!!;tafuta nafasi ama boli ufunge!!;this time watatafuta mpira kwa tochi!!;mara bunge live,mara sukar mara lugumi mara dr Tulia sahv wanafunzi UDOm tushawachoka!Huu ndio ukweli halisi. ..hatuwezi ongozwa na wanasiasa wanaovizia kick zakisiasa badala ya kujikita kutatua kero halisikwa wa wapiga kura wao
Vyuo vilifungwa lkn walikodi mabasi wakapige kura!Kijana kama ulifuatilia kipindi cha kupiga kura ukiwa mkweli utasema ni Chadema ndio walikuwa bize na kusafirisha wanafunzi wakapige kura walipojiandikisha.Jikite kwenye hoja kijana!