Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kijana falsafa iliyotumika kuelezea suala hili ni kubwa hadi uwe mtu wa kufuatilia siasa za Tanzania.Nani anatengeneza wapiga kura kama sio CCM?
Kijana kama ulifuatilia kipindi cha kupiga kura ukiwa mkweli utasema ni Chadema ndio walikuwa bize na kusafirisha wanafunzi wakapige kura walipojiandikisha.Jikite kwenye hoja kijana!Mmemaliza kuwatumia U-dom kwenye uchaguzi sasa mmewatimua.ccm ovyo kabisa.
Hao wanaUdom ndiyo vihiyo (vimeo). Kitendo cha kukubali kutumika tu tafsiri yake ni kwamba hawajielewi. Sasa wote (wahadhiri na wanafunzi wao wanaipata fresh). UDOM yageuka kuwa U do me!Mmemaliza kuwatumia U-dom kwenye uchaguzi sasa mmewatimua.ccm ovyo kabisa.
Hakuna watu wa ajabu kama chadema.Chadema mlijichanganya kwenye suala la kubadili via angani hadi leo mnakosa uhalali wa kujadili ama kuukemea ufisadi. Sasa niwatahadharishe mapemaaaaa! Suala la hawa vilaza a.k.a vihiyo wa udom achaneni nalo litawapotezea mwelekeo kabisaaa!!!
Mnatetetea vilaza waendelee kula kodi zetu!!!!??
Mkuu sina haja kumsingizia mtu.Naamini hii hoja umeielewa nilianza kwa kukiri jinsi kansa hii ya "kutengeneza wapigakura" kwa hoja dhaifi ilivyoiathiri.Nimebainisha kwa kasi Chadema wamepokea kijiti hiki!Karibu mkuu.Nilipokua nafungua uzi huu nilikuwa nawaza safari hii utakuwa umemsingizia nani,naona umejirekebisha na kuweka wazi kuwa ni maoni yako!
Ccm ndio kinara wa kutengeneza wapigaa kura kwa ulaghai!Mfano ni zaidi ya miaka 10 ccm imekuwa ikiahidi wana kigoma barabara ya lami kutoka kigoma mjini kupitia kasulu-kibondo mpaka kuunganisha na nyakanazi ambako ndiko lami inayotoka kahama kwenda kigoma ndiko ilikoishia!Ikifika wakati wa uchaguzi serikali imekuwa ikipeleka greda na vifaa vingine vya ujenzi sight ili kuwaonesha wapiga kura sasa kero yao inaenda kutatuliwa!Kwenye kampeni ccm huwa wanasema tupeni kura tumalizie ujenzi,wananchi wanaingia mkenge!Mkishapewa kura vifaa vyote mnaondoa sight mpaka uchaguzi mwingine mnarudi na style ilele!Ni zaidi ya miaka 10 lami hiyo haijafika hata kasulu,sembuse kuunganisha na na Mkoa wa shinyanga!
Mifano iko mingi mno ya ahadi hewa!
Chadema mlijichanganya kwenye suala la kubadili via angani hadi leo mnakosa uhalali wa kujadili ama kuukemea ufisadi. Sasa niwatahadharishe mapemaaaaa! Suala la hawa vilaza a.k.a vihiyo wa udom achaneni nalo litawapotezea mwelekeo kabisaaa!!!
Mnatetetea vilaza waendelee kula kodi zetu!!!!??
Kweli chadema majanga tuwe wakweli tu hawa jamaa hawajitambui kabisa hata bungeni nadhani wanakwenda kuuza sura.