CHADEMA shindeni UMEYA mara ya mwisho

Najua hata kama huna direct contacts za Mzee Wassira ukiingia kwenye tovuti ya bunge watakuwa hawaja update. Mpigie akueleze vizuri jinsi cdm ilivyokufa kabla ya mwisho wa 2013.
 
labda ccm ibadilishe mgombea na sio huyu maghufuli aliyeahaidi kupambana na mafisadi badala yake amewazawadia mafisadi wa escrow vyeo. ccm kila mwaka itazidi kupoteza viti vya ubunge na hata udiwani.
kamanda umeongea kishabiki kweli. lakini unajua ni kheri fisadi asiyekuwepo ikulu kuliko fisadi aliyekalia kiti pale ikulu. kwa sababu hawa wa pembezoni ni fahisi kuwa monitor lakini akiwa ikulu nani atam monitor. angalia mfano angeingia Lowasa ikulu ingekuwaje. team yote ya mafisadi ndio watu wake.utatuambia nini. na nasema mwaka 2020 ni bora akawepo mgombea mpya kabisaaa kwa ukawa vinginevyo kifo cha mendeee kitatukuta.
 
Shangilieni sana kuchukua Jiji la Dar, Mbeya, Iringa na Arusha kama sijakosea. Ila jueni hii ni mara ya mwisho maana 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mtashindwa vibaya kwa kukosa Sera na Mwelekeo baada ya kuacha misingi yenu! 2020 ndio kabisaa hamna chenu maana hata mgombea wa URAIS hamtakuwa naye! Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuzungusha mikono wala kudeki barabara wakati huo! HAPA KAZI TU!
kwanza twanze na serikali za mitaa,hivi utafanyika peke yake?maana nilisikia watauunganisha na Uchaguzi Mkuu!
 
Toa hoja waliochaguliwa wafanye nini ili kufikia malengo na matarajio ya waliowachagua! Nilini watu watajifunza kuwa sehemu ya mafanikio badala ya matatizo...
mtu unawaza uchaguzi sasaivi? Eti 2019. Akili duuni sana
 
Shangilieni sana kuchukua Jiji la Dar, Mbeya, Iringa na Arusha kama sijakosea. Ila jueni hii ni mara ya mwisho maana 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mtashindwa vibaya kwa kukosa Sera na Mwelekeo baada ya kuacha misingi yenu! 2020 ndio kabisaa hamna chenu maana hata mgombea wa URAIS hamtakuwa naye! Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuzungusha mikono wala kudeki barabara wakati huo! HAPA KAZI TU!

Hukulazimishwa kula viwavijeshi bali ni matokeo ya Sera za ccm,wako bize kubaka demokrasia huku wapigakura wake wanaparulana na ndege kukamata viwavijeshi.

Shushia birauli la maji ili hicho kiwavi kilichokuniga kooni kishuke.
 
Shangilieni sana kuchukua Jiji la Dar, Mbeya, Iringa na Arusha kama sijakosea. Ila jueni hii ni mara ya mwisho maana 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mtashindwa vibaya kwa kukosa Sera na Mwelekeo baada ya kuacha misingi yenu! 2020 ndio kabisaa hamna chenu maana hata mgombea wa URAIS hamtakuwa naye! Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuzungusha mikono wala kudeki barabara wakati huo! HAPA KAZI TU!

Naomna nimquote Mugabe maneno yake yanaweza kukusaidia..."Treat every part of your towel nicely because the part that wipes your buttocks today will wipe your face tomorrow''.
 
Shangilieni sana kuchukua Jiji la Dar, Mbeya, Iringa na Arusha kama sijakosea. Ila jueni hii ni mara ya mwisho maana 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mtashindwa vibaya kwa kukosa Sera na Mwelekeo baada ya kuacha misingi yenu! 2020 ndio kabisaa hamna chenu maana hata mgombea wa URAIS hamtakuwa naye! Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuzungusha mikono wala kudeki barabara wakati huo! HAPA KAZI TU!
Dua la kuku siku zote halimpati mwewe!
 
Maneno haya nenda kayaseme sasa hivi pale Mkwajuni kwa wale watu waliopembeni ya vifusi vya nyumba zao uone nini kitakupata.
Wanaweza kukuwekea chupa ya Fanta kunako maeneo na ikapotelea ndani, shauri yako!
 
Back
Top Bottom