Ndio uwezo wao ulipofikia hapo mkuu. Mifano tunaona kwa Viongozi wao wa Chama kutwa kutukana Serikali na mamlaka za Taifa.Hata kama unasababu za msingi ni lazima utukane? Si kweli, ni sawa na kichaa akibeba nguo yako mtoni na kukimbia huna sababu ya wewe kumkimbiza uchi....chutama omba msaada utaonekana na busara zaidi